Nyuma kwetu ndo wapi na wewe?[/QUOTE
Halafu wewe Nyani Ngabu,tangu uachwe na gadner basi chuki na hasira zako zote unamaliza kwa ya lady jaydee,mwenzio jide ni mke wa ndoa wewe ulikua kidumu cha gadner..so take it easy!!
Halafu wewe Nyani Ngabu,tangu uachwe na gadner basi chuki na hasira zako zote unamaliza kwa ya lady jaydee,mwenzio jide ni mke wa ndoa wewe ulikua kidumu cha gadner..so take it easy!!
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.
Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.
Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.
hoja ipi hasa zaid ya inayohitajika,ruge kusaga ni wanyonyaji na adui mkubwa kwa ustawi wa maendeleo ya vijana kupitia mzik!ukwel unaujua ila unajaribu kuuficha kwenye backsit yako kama wali vyo hide kusaga na rugay nyuma ya makalio ya fa na fleva unite
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.
Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.
Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.
Nilikuwa nakuona ni mtu makini sana,kumbe huna tofauti na Lofa wa kutupwa TID?vichwa vyenu vimejaa maji tu shame on you,alaaaa!!!!!
Specifics, specifics, specifics!
Wamemnyonya nani, nini, lini, wapi, kwa namna gani, na kwa kiasi gani?
Maswali ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu.
Na wewe huna specifics za madai ya huyo lady wenu?
Huna majibu ndo maana unapovuka:heh:
yaani hapa unacheza ngoma usioijua,tafuta sredi nyingine utakayo fit hapa unapwaya tu.
Specifics, specifics, specifics!
Wamemnyonya nani, nini, lini, wapi, kwa namna gani, na kwa kiasi gani?
Umedandia tren kwa mbele ndio maana una waya waya.
we chizi nini?