Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

sis Jide hang tuff when its ruff....freedom is comin hawa madogo wasikukatishe tamaa..tena waliosalia waambie kabisa km wanajitoa watoke mapema.kwenye shoo tutakuja na itabamba mbaya. down wit hope n up wit hope nobody is gonna rob ya way.
 
Nyuma kwetu ndo wapi na wewe?[/QUOTE

Halafu wewe Nyani Ngabu,tangu uachwe na gadner basi chuki na hasira zako zote unamaliza kwa ya lady jaydee,mwenzio jide ni mke wa ndoa wewe ulikua kidumu cha gadner..so take it easy!!
 
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.

Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.

Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.
 
ki ukweli hii ishu inatisha ina maana ruge anataka kumyumbisha jide kiasi hiki.hapa ndo naendelea kukubal kwamba clauds ime colonize bongo fleva.but jide kaza moyo utashinda
 
bila shaka watu wamepata picha ya wasanii wa bongo walivyo
 
ki ukweli hii ishu inatisha ina maana ruge anataka kumyumbisha jide kiasi hiki.hapa ndo naendelea kukubal kwamba clauds ime colonize bongo fleva.but jide kaza moyo utashinda

hakika
 
hoja ipi hasa zaid ya inayohitajika,ruge kusaga ni wanyonyaji na adui mkubwa kwa ustawi wa maendeleo ya vijana kupitia mzik!ukwel unaujua ila unajaribu kuuficha kwenye backsit yako kama wali vyo hide kusaga na rugay nyuma ya makalio ya fa na fleva unite
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.

Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.

Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.
 
hoja ipi hasa zaid ya inayohitajika,ruge kusaga ni wanyonyaji na adui mkubwa kwa ustawi wa maendeleo ya vijana kupitia mzik!ukwel unaujua ila unajaribu kuuficha kwenye backsit yako kama wali vyo hide kusaga na rugay nyuma ya makalio ya fa na fleva unite

Specifics, specifics, specifics!

Wamemnyonya nani, nini, lini, wapi, kwa namna gani, na kwa kiasi gani?
 
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.

Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.

Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.

Nilikuwa nakuona ni mtu makini sana,kumbe huna tofauti na Lofa wa kutupwa TID?vichwa vyenu vimejaa maji tu shame on you,alaaaa!!!!!
 
Na wewe huna specifics za madai ya huyo lady wenu?
 
Ruge na kusaga ni majambazi ya kazi za wasanii.
 
Back
Top Bottom