Ruge na kusaga ni majambazi ya kazi za wasanii.
Hao watu nawachukia sana.
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.
Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.
Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.
....msafara wa mamba kenge wamo pia !
We nyani una dalili zote za ukenge !
Specifics, specifics, specifics!
Wamemnyonya nani, nini, lini, wapi, kwa namna gani, na kwa kiasi gani?
We mwizi nini?
Wamemnyonya dadako masaburi !
Hujanikera bado. Jaribu tena....:heh:
K'mamamamamako !
Naona unahangaika sana kujifanya unanijua. Nyumbani kwetu hakuna kijiwe cha kahawa na mimi wala siishi Tanzania, kwa taarifa yako. Huku niliko ndo kwanza mishale ya saa tatu asubuhi.
Kweli nimeamini kusaga ana nguvu sana kumbe ana uwezo wa kuzuia harusi ya T.I.D kama akishiriki show ya lady jaydee.
Nazidi kumuelewa lady jaydee na pengine akabaki pekee lakini show itafana.
hakika T.I.D kaniacha hoi sana na hizi sababu zake na ni wazi hapo sababu kuu ni RUGE
Daa labda restain order imemzuia T.I.D kushiriki show ya jaydee, hakika duniani kuna mengi.
Kama ukipata kumsikia T.I.D ana ongea na ukaangalia na hayo maneno unaweza kujiuliza huu uwoga ameutoa wapi.
Wahenga walishasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, huu ndo mwanzo wa mwisho wa kina ruge! Negative publicity mtaipata tu kama uovu mmeufanya. Kama sio leo, ni kesho. Mjipangee
Unawachukia huku wao hawana hata habari na wewe?
Kunywa sumu ufe tu maana wao ni kama mvua, hawaepukiki.
K'mamamamamako !