Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

Kazi hipo: Baada ya lady jaydee kueleza sababu za ukimya wake, nae t.i.d ajitoa kwenye show

bora alivyojitoa kwanza angeharibu show mtu mwenyewe wa ku copy na kupest , top in town halafu muoga ,bottom in town mkubwa huyo
 
Mnazidi kudhihirisha jinsi ambavyo ninyi pamoja na hicho ki Jay Dee chenu msivyo na hoja hata moja.

Badala ya kushusha malalamishi mahsusi aliyonayo dhidi ya hao jamaa mmebakia kushusha viroja kama ambavyo ulivyofanya hapo juu.

Haya nenda kalambe maziwa ya mende dudu halafu ulale.

....msafara wa mamba kenge wamo pia !
We nyani una dalili zote za ukenge !
 
....msafara wa mamba kenge wamo pia !
We nyani una dalili zote za ukenge !

Nyani ngabu ni mzandiki mkubwa. Mtu mzima akili kama za kuku na wivu zake kama za kike. hataki kuwaona wakina Dr. Shayo wakiwa na maendeleo. Boxi imemchanganya akili
 
Hahhahahaha. TID ashafulia chaliiiii....kuoa sababu gani hiyo?waulizeni studio.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Naona unahangaika sana kujifanya unanijua. Nyumbani kwetu hakuna kijiwe cha kahawa na mimi wala siishi Tanzania, kwa taarifa yako. Huku niliko ndo kwanza mishale ya saa tatu asubuhi.

Basi utakuwa unaishi kwenye misitu ya congo!
 
Wahenga walishasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, huu ndo mwanzo wa mwisho wa kina ruge! Negative publicity mtaipata tu kama uovu mmeufanya. Kama sio leo, ni kesho. Mjipangee
 
Kweli nimeamini kusaga ana nguvu sana kumbe ana uwezo wa kuzuia harusi ya T.I.D kama akishiriki show ya lady jaydee.
Nazidi kumuelewa lady jaydee na pengine akabaki pekee lakini show itafana.

hakika T.I.D kaniacha hoi sana na hizi sababu zake na ni wazi hapo sababu kuu ni RUGE
Daa labda restain order imemzuia T.I.D kushiriki show ya jaydee, hakika duniani kuna mengi.
Kama ukipata kumsikia T.I.D ana ongea na ukaangalia na hayo maneno unaweza kujiuliza huu uwoga ameutoa wapi.

Lady jay dee ana band inaitwa MACHOZI BAND . Sasa why asifanye show yake na band yake akafaidi hela na viingilio peke yake. Amekaa kwenye hii industry zaidi ya miaka 10 ana nyimbo kibao why atafute wasanii wengine tena au naye hajiamini sasa why anajiita komandoo. Dah inachekesha coz sijawahi kusikia twanga wanafanya show harafu wawaite msondo au sikinde au akudo
 
Wahenga walishasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho, huu ndo mwanzo wa mwisho wa kina ruge! Negative publicity mtaipata tu kama uovu mmeufanya. Kama sio leo, ni kesho. Mjipangee

Amini usiamini huu ndio mwisho wa lady jay dee . Atakufa natural death kama wasanii wenzake akina wastara, ray c, east coast, mkoloni, o ten, fanani, sister p, daz nunda, diplomatz ,mabaga fresh, hard blastaz, crazy gk, wakali kwanza, inspekta haroun etc........... Hayo makelele anayopiga ni kama tu anakata roho. Huwezi kuzuia kifo
 
Unawachukia huku wao hawana hata habari na wewe?

Kunywa sumu ufe tu maana wao ni kama mvua, hawaepukiki.

Naona muosha masaburi ya wazee unajitutumua sana,we komaa kuwatawaza wazee huko mambo ya huku tuachie wenyewe.
 
tid alivoanza muziki zamani kama bado anaogopa basi kazi ipo kwa hawa wasanii kujikomboa.
 
OKWI aliondoka Simba kwa sababu amepata mahali panapolipa zaidi, SAMATA alienda TP MAZEMBE kwa sababu ya dau linalolipa zaidi, vivyo hivyo NGASA kutoka Yanga,AZAM,SIMBA hadi Yanga tena yote ni sababu ya Contract inayolipa zaidi!!!!
Kunya anye kuku kumbe!!!!! Hivi mtu asiende kunakolipa kisa sisi mashabiki tuna yetu? Let's be fair on this,
Sababu ya kuoa kidogo inazaa baadhi ya maswali,
Sababu ya kutokuingilia Bifu kwangu binafsi naona anatengeneza bifu kwa kuepuka bifu!!!
 
Back
Top Bottom