KAZI IENDELEE: Barabara ya Morocco - Mwenge wafikia asilimia 70

KAZI IENDELEE: Barabara ya Morocco - Mwenge wafikia asilimia 70

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35.

Mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam.

IMG-20210312-WA0041.jpg
IMG-20210312-WA0040.jpg
IMG-20210312-WA0045.jpg
IMG-20210312-WA0042.jpg
IMG-20210312-WA0044.jpg
 
Maendeleo ya barabara bila kiranja mkuu mtatupeleka shimoni, tuelezeni kwanza alipo kiranja mkuu hayo mengine tutaendelea nayo.
 
CHADEMA watasema hii ipo Marekani
Feleni itapungua kutoka Morocco mpaka mwengi kisha magali lazima yakae mwenge mataa tu labda wajenge dalaja kama ubungo
 
Back
Top Bottom