Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kwani huwa wanajiteka mkuu?Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity
Ana akili nyingi hadi amemkosa mme wa size yake amuoe.Dada mwenye akili kibao
Halafu kuna mbayuwayu wanajaribu kumshusha Halima na kajitu kama T. Trust sijui mavi huko?
Geez
ulichangia uzi huu huu au ulilenga uzi mwingine ?Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity
Ni sahihi mkuuIts true mkuu
Maana sisi wanaume hua hatuoi very strong women!
Strong women wajioe wenyewe ndio inafaa!
Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity
Mkuu atazuia wapi na wapi ? tumesambaza mikutano kama hii nchi nzima !Jiwe lazima atume Polisi kuzuia huo mkutano.
....Wote mnakaribishwa .Kila siku oh kazi imeanza. Kwa hiyo ilikuwa haijaanza sio?