Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

Watu wengi wenye IQ ndogo, priority yao huwa ni kuoa, kuolewa na ngono.

Botha yule mbaguzi wa rangi wa South Africa, aliwahi kunena kuwa mtu mweusi anachokijua ni ngono na kuimba. Ilikuwa ni kauli ya kibaguzi lakini yenye ukweli unaoumiza.
Yani kwa sababu wewe umezaliwa na baba asiejulika anashauri wengine nao wazaliwe nje ya ndoa!!

Kuoa/kuolewa ni muhimu sana. Hata huyo kaburu unaemtolea mfano ameoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunawanunua wagumu ... tunamtafuta sana Heche kwa sasa.. wengine wanarudi nyumbani kwa free...

Wengi walikuja chadema wakitegemea madaraka na pesa... Kumbe mwenyekiti wa kudumu sio mwepesi kugawa pesa na madaraka...

Wengi hawanunuliwi...
Tumewadhibiti vibaya sana kudadeki ! Halafu hao mamluki mbona tena mnawanunua kwa bei kubwa sana kiasi cha kupunja hadi hela ya kujengea madarasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunawanunua wagumu ... tunamtafuta sana Heche kwa sasa.. wengine wanarudi nyumbani kwa free...

Wengi walikuja chadema wakitegemea madaraka na pesa... Kumbe mwenyekiti wa kudumu sio mwepesi kugawa pesa na madaraka...

Wengi hawanunuliwi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unataka kusema kwamba ni kweli kwamba ccm haina watu hadi muanze kununua kutoka upinzani kiasi cha kuhalalisha ujumbe huu ?
IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
No ninataka kusema kuwa chadema ina mtu mmoja tu mwenye akili na uwezo wa kuwa mwenyekiti wa kudumu...

Wengine wote sisi ni wafuasi kama wa kibwetele.

Mbowe again.. and again..

Pia chadema hatuna uwezo wa kuandaa wagombea uraisi... huwa tunasimamisha maccm...Tayari wa2 tuliowaamini kugombea uraisi na kuwapigia deki barabara wamerudi ccm (mamlukiz).

Membe nae huyo anasubiri muda avuke kuingia kwenye chaka la wasio na akili na uwezo...
Yaani unataka kusema kwamba ni kweli kwamba ccm haina watu hadi muanze kununua kutoka upinzani kiasi cha kuhalalisha ujumbe huu ?
View attachment 1315908

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom