Abuka
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 248
- 243
Ondoa hii takatakaView attachment 1314588
Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii.
Wote mnakaribishwa
Sent using Jamii Forums mobile app