Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Sasa rasmi gape la pointi imekuwa alama 10 kati ya yanga na simba, ni umakini mdogo wa polisi leo kulikowafanya washindwe kuondoka na alama 3, wamecheza vizuri sana lakini umakini wao mdogo kwenye final third umewafanya waokote point moja, Mbio za ubingwa kwa timu ya wananchi zinazidi kurahisishwa