Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwa faulo walizo kuwa wanachezewa na mwamuzi anaacha lazma washangilie.Yaani Polisi wamekosa magoli ya wazi dk za mwisho! Halafu badala ya kuhuzunika baada ya mpira kuisha, eti wanashangilia sare! Hovyo kabisa.
MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE ........[emoji847][emoji13]Yanga washazoea kuongoza ligi,Tunawafata polepole tu
Tulia sisi tupo bze na Klabu Bingwa🤣🤣🤣
Klabu bingwa ipi na mlishatolewa na Jwaneng Galaxy?Tulia sisi tupo bze na Klabu Bingwa🤣🤣🤣
Orlando atacheza na Yanga jumapil?Klabu bingwa ipi na mlishatolewa na Jwaneng Galaxy?
Ndio klabu bingwa hiyo mechi? Una akili timamu?Orlando atacheza na Yanga jumapil?