Hahaah wewe ni mshabiki wa yanga sio tp mazembe maswala ya simba na tp mazembe hayakuhusu...maswala yanayokuhusu ni ya timu yako yanga...sasa ndo nakukumbusha timu yako yanga juzi tu imekutana na sisi simba tukawalawiti kimojaa...sahivi marinda hakuna hahaaaahKwa hivyo kwa raha zenu na nyinyi mkageuka mkapigwa vinne vya mlevi?
Kwa hiyo ligi isichezwe??tufanyeje??simba watanunua mechi zote na kuhonga marefa
Mkuu mimi nilikuuliza vingine, una kuja na mengine. Ulitakiwa ujibu swala tu, siyo kujaza mapovu yasiyojibu hilo swala! Kama aliyefungwa moja yuko hivyo unavyojilabu, aliyefumgwa manne, na matano, na matano, anakuwaje?Hahaah wewe ni mshabiki wa yanga sio tp mazembe maswala ya simba na tp mazembe hayakuhusu...maswala yanayokuhusu ni ya timu yako yanga...sasa ndo nakukumbusha timu yako yanga juzi tu imekutana na sisi simba tukawalawiti kimojaa...sahivi marinda hakuna hahaaaah
Yanga ndo alifunga hizo nne...timu lako bovu sasa umeona huna namna ubembee kwenye timu za wenzio...wewe elezea timu yako mzee baba..timu lako si tuliligeuza tukaliingilia kinyume na maumbile..kataa kama hamkugeuzwa na sisiMkuu mimi nilikuuliza vingine, una kuja na mengine. Ulitakiwa ujibu swala tu, siyo kujaza mapovu yasiyojibu hilo swala! Kama aliyefungwa moja yuko hivyo unavyojilabu, aliyefumgwa manne, na matano, na matano, anakuwaje?
Issue ni kujibu unavyoulizwa, mimi sijakuuliza habari ya magoli ya Yanga, nimekuuliza juu ya manne, matano na matano. Kama huna jawabu ya hayo, usianzishe mada nyengine. Kama moja liko hivyo unavyojilabu, manne na matano na matano inakuwaje? Hilo ndiyo swala langu la msingi. Kuna taabu gani kulijibu? Bila ya jawabu ya hilo sioni sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.Yanga ndo alifunga hizo nne...timu lako bovu sasa umeona huna namna ubembee kwenye timu za wenzio...wewe elezea timu yako mzee baba..timu lako si tuliligeuza tukaliingilia kinyume na maumbile..kataa kama hamkugeuzwa na sisi
Hahaaah eti tujadili magoli manne,matano...yanga imemfunga nani hayo magoli???....mkuu ukiona unaanza kushabikia timu za wenzio ujue timu lako libovu so haliwezi kufanya chochote cha kukufurahisha ndo mana unaanza kushobokea ushindi wa timu za wenzioIssue ni kujibu unavyoulizwa, mimi sijakuuliza habari ya magoli ya Yanga, nimekuuliza juu ya manne, matano na matano. Kama huna jawabu ya hayo, usianzishe mada nyengine. Kama moja liko hivyo unavyojilabu, manne na matano na matano inakuwaje? Hilo ndiyo swala langu la msingi. Kuna taabu gani kulijibu? Bila ya jawabu ya hilo sioni sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.
Hakuna mjadala mimi na wewe bila ya kwanza kujibu swala langu: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu, inakuwaje kwa manne, na manne, na matano?Hahaaah eti tujadili magoli manne,matano...yanga imemfunga nani hayo magoli???....mkuu ukiona unaanza kushabikia timu za wenzio ujue timu lako libovu so haliwezi kufanya chochote cha kukufurahisha ndo mana unaanza kushobokea ushindi wa timu za wenzio
Timu yako yanga kamfunga nani manne??Hakuna mjadala mimi na wewe bila ya kwanza kujibu swala langu: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu, inakuwaje kwa manne, na manne, na matano?
Unafikiri natania? Sina mjadala na wewe mpaka kwanza ujibu swala langu la msingi: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu nayo dhidi ya Yanga, inakuwaje kwa mliofungwa manne, matano na matano?Timu yako yanga kamfunga nani manne??
Jibu lake ni hatujawahi fungwa na yanga hayo magoliUnafikiri natania? Sina mjadala na wewe mpaka kwanza ujibu swala langu la msingi: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu nayo dhidi ya Yanga, inakuwaje kwa mliofungwa manne, matano na matano?
FT...Makwasukwasu a.k.a omba omba fc 0-mtigwa 1Unafikiri natania? Sina mjadala na wewe mpaka kwanza ujibu swala langu la msingi: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu nayo dhidi ya Yanga, inakuwaje kwa mliofungwa manne, matano na matano?
Swala langu halikusema kuwa hayo magoli mmefungwa na Yanga. Nimeuliza : kama goli moja lina madhara hayo uliyojilabu nayo, inakuwaje kwa kufungwa magoli manne, na matano na matano? Kuna tatizo gani kujibu swala rahisi kama hilo? Kwa heri, huna jawabu.Jibu lake ni hatujawahi fungwa na yanga hayo magoli
Wana JF wenye akili tumamu huwa hawaanzishi mjadala ndani ya mjadala, wala hawakwepi swala kwa kubuni hoja. Kama unataka kujadili ya Mtibwa na Yanga, anzisha Uzi wako, usitibue muktadha wa Uzi ulioanzishwa na mwenzako. Tafadhali anzisha huo Uzi ili Wana-JF wapate kuchangia.FT...Makwasukwasu a.k.a omba omba fc 0-mtigwa 1
FT...mwakwasukwasu fc..a.k.a ombaomba fc 0....Mtigwa 1Swala langu halikusema kuwa hayo magoli mmefungwa na Yanga. Nimeuliza : kama goli moja lina madhara hayo uliyojilabu nayo, inakuwaje kwa kufungwa magoli manne, na matano na matano? Kuna tatizo gani kujibu swala rahisi kama hilo? Kwa heri, huna jawabu.
Sasa mambo ya simba sjui alifungwa nne or tano talikuwa yanahusiana nini na huu uzi...mbona wewe hukuanzisha uzi wakoWana JF wenye akili tumamu huwa hawaanzishi mjadala ndani ya mjadala, wala hawakwepi swala kwa kubuni hoja. Kama unataka kujadili ya Mtibwa na Yanga, anzisha Uzi wako, usitibue muktadha wa Uzi ulioanzishwa na mwenzako. Tafadhali anzisha huo Uzi ili Wana-JF wapate kuchangia.
Huu Uzi ulikuwa ukizungumzia viporo vya timu gani? Na waliofungwa hayo magoli ni timu gani? Hapa ndio mwisho wa kujadiliana na wewe kwenye uzi huu,naogopa nisije nikaonekana kama wewe.Sasa mambo ya simba sjui alifungwa nne or tano talikuwa yanahusiana nini na huu uzi...mbona wewe hukuanzisha uzi wako
FT...njaa fc...a.k.a vyuraa fc 0- mtigwa 1
Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??Huu Uzi ulikuwa ukizungumzia viporo vya timu gani? Na waliofungwa hayo magoli ni timu gani? Hapa ndio mwisho wa kujadiliana na wewe kwenye uzi huu,naogopa nisije nikaonekana kama wewe.