Kazi ipo hii ndio ratiba maalum ya viporo vya Simba FC

Kwa hivyo kwa raha zenu na nyinyi mkageuka mkapigwa vinne vya mlevi?
Hahaah wewe ni mshabiki wa yanga sio tp mazembe maswala ya simba na tp mazembe hayakuhusu...maswala yanayokuhusu ni ya timu yako yanga...sasa ndo nakukumbusha timu yako yanga juzi tu imekutana na sisi simba tukawalawiti kimojaa...sahivi marinda hakuna hahaaaah
 
Mkuu mimi nilikuuliza vingine, una kuja na mengine. Ulitakiwa ujibu swala tu, siyo kujaza mapovu yasiyojibu hilo swala! Kama aliyefungwa moja yuko hivyo unavyojilabu, aliyefumgwa manne, na matano, na matano, anakuwaje?
 
Yanga ndo alifunga hizo nne...timu lako bovu sasa umeona huna namna ubembee kwenye timu za wenzio...wewe elezea timu yako mzee baba..timu lako si tuliligeuza tukaliingilia kinyume na maumbile..kataa kama hamkugeuzwa na sisi
 
Issue ni kujibu unavyoulizwa, mimi sijakuuliza habari ya magoli ya Yanga, nimekuuliza juu ya manne, matano na matano. Kama huna jawabu ya hayo, usianzishe mada nyengine. Kama moja liko hivyo unavyojilabu, manne na matano na matano inakuwaje? Hilo ndiyo swala langu la msingi. Kuna taabu gani kulijibu? Bila ya jawabu ya hilo sioni sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.
 
Hahaaah eti tujadili magoli manne,matano...yanga imemfunga nani hayo magoli???....mkuu ukiona unaanza kushabikia timu za wenzio ujue timu lako libovu so haliwezi kufanya chochote cha kukufurahisha ndo mana unaanza kushobokea ushindi wa timu za wenzio
 
Hakuna mjadala mimi na wewe bila ya kwanza kujibu swala langu: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu, inakuwaje kwa manne, na manne, na matano?
 
tar.1-5 uwanja upi utatumika kwaajili ya maazimisho ya mei mosi!
 
Timu yako yanga kamfunga nani manne??
Unafikiri natania? Sina mjadala na wewe mpaka kwanza ujibu swala langu la msingi: kama goli moja lina madhara hayo unayojilabu nayo dhidi ya Yanga, inakuwaje kwa mliofungwa manne, matano na matano?
 
Jibu lake ni hatujawahi fungwa na yanga hayo magoli
 
Swala langu halikusema kuwa hayo magoli mmefungwa na Yanga. Nimeuliza : kama goli moja lina madhara hayo uliyojilabu nayo, inakuwaje kwa kufungwa magoli manne, na matano na matano? Kuna tatizo gani kujibu swala rahisi kama hilo? Kwa heri, huna jawabu.
 
FT...Makwasukwasu a.k.a omba omba fc 0-mtigwa 1
Wana JF wenye akili tumamu huwa hawaanzishi mjadala ndani ya mjadala, wala hawakwepi swala kwa kubuni hoja. Kama unataka kujadili ya Mtibwa na Yanga, anzisha Uzi wako, usitibue muktadha wa Uzi ulioanzishwa na mwenzako. Tafadhali anzisha huo Uzi ili Wana-JF wapate kuchangia.
 
Swala langu halikusema kuwa hayo magoli mmefungwa na Yanga. Nimeuliza : kama goli moja lina madhara hayo uliyojilabu nayo, inakuwaje kwa kufungwa magoli manne, na matano na matano? Kuna tatizo gani kujibu swala rahisi kama hilo? Kwa heri, huna jawabu.
FT...mwakwasukwasu fc..a.k.a ombaomba fc 0....Mtigwa 1
 
Wana JF wenye akili tumamu huwa hawaanzishi mjadala ndani ya mjadala, wala hawakwepi swala kwa kubuni hoja. Kama unataka kujadili ya Mtibwa na Yanga, anzisha Uzi wako, usitibue muktadha wa Uzi ulioanzishwa na mwenzako. Tafadhali anzisha huo Uzi ili Wana-JF wapate kuchangia.
Sasa mambo ya simba sjui alifungwa nne or tano talikuwa yanahusiana nini na huu uzi...mbona wewe hukuanzisha uzi wako
FT...njaa fc...a.k.a vyuraa fc 0- mtigwa 1
 
Huu Uzi ulikuwa ukizungumzia viporo vya timu gani? Na waliofungwa hayo magoli ni timu gani? Hapa ndio mwisho wa kujadiliana na wewe kwenye uzi huu,naogopa nisije nikaonekana kama wewe.
 
Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??
 
Back
Top Bottom