mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??
Morogoro kumenoga Tanga kumenoga heheheheeeeeeee!Anhaa kumbe uzi unazungumzia viporo vya simba ..Hayo magoli manne..or matano simba hawajawahi fungwa kwenye viporo vyake kwenye hii ligi...unaswali jingine??
Moro wo wenyewe wamekaa baada ya mechi,Mkwakwani kumenoga heheheheeeeeeeeeee!Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha
Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.
Ungeanzisha uzi wake...FULL TIME...Makwasukwasu fc 0 - Mtigwa 1Nimalizie kujadiliana nawe kwa kukuelewesha
Ah! Nimeona nikusaidie kwa mara ya mwisho kufahamu jinsi hoja na maswala yako visivyokidhi haja kabla ya kuagana. Kwani viporo vya Simba, ambavyo ndio mada ya uzi wenyewe, chanzo chake ni nini? Na kama unakijua, hakihusiani na hayo manne, na matano na matano? Kwa heri.
Game zimesogezwa mbele zitachezwa tarehe 3-5 MayHiyo ya tarehe moja its ahirishwa tu, ngoja tuone