Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Umeuliza kama moja ya waweka poda za murusi.Alikwambia nani?
ina maana WHO ARE YOU ilikuwa Typing Error na ikasomwa hivyo hivyo?Bora hiyo, kuna kazi ya kuchapisha hotuba ikulu, ukifanya typing error inaenda kusomwa hivyo hivyo....
Cc: Mahondaw