KAZI KAZI KAZI KAZI

KAZI KAZI KAZI KAZI

Makox

Senior Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
134
Reaction score
175
Natafuta mabint wazuri wa kuunza baa.
Wawe na sifa ziguatazo;
1. Mchangamfu.
2. Awe mnywaji.
3. Awe tayari kuishi Songea (Ruvuma)
4. Awe tayari Kufanya kazi kwa kujisimamia kwa mkataba maalumu kadri ya makubaliano yatakayofikiwa
5. Awe na barua ya utambulisho.
6. Awe na barua au Namba ya NIDA na namba ya SIMU ya mdhamini.


NB: MALAZI NA CHAKULA VINATOLEWA NA BOSI


KWA WALIO TAYARI;
- Njoo PM
- Piga Simu 0766154595 au 0775208172
- Njoo WhatsApp 0766154595
 
Back
Top Bottom