Kazi kubwa ya Wanasiasa ni kujidanganya wao wenyewe wala si kuwadanganya Wananchi

Kazi kubwa ya Wanasiasa ni kujidanganya wao wenyewe wala si kuwadanganya Wananchi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika modern world walichobakinacho Wanasiasa ni Kujidanganya Wao binafsi huku Wakiamini Wanawadanganya Wananchi.

Wanasiasa wa Dunia ya Leo ndio wale akina Herode walioamini Wanawadanganya Mamajusi kumbe Herode alikuwa anajidanganya Yeye Mwenyewe.

Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
 
Yohana lini wanasiasa wakawa wakweli wa ukweli wa ndani ya vitabu vya dini ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Siasa inaendeshwa na watu....

Maisha ya watu walio wengi ni KUDANGANYA NA KUONGOPA ili kuendelea kufanikiwa.....iwe mitaani petu , biasharani ,maofisini na kwengineko.....

Kwanini tuwalaumu wanasiasa pekee ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Maulid Mubarak[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom