johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lakini mpaka piko ni kiboko ni namba moko.Kama bibi wa kipemba alivodanganya jana na yule mpaka piko kichwani alie danganya msikitini kuwa rais anapiga kazi kumbe alisha fariki
Kabisa yule ni muongo sana yaani sanaLakini mpaka piko ni kiboko ni namba moko.
Yule hata kama hakuna Umeme anaweza kuwaambia upo ila badala ya kutoa mwanga unatoa giza😁Kabisa yule ni muongo sana yaani sana
Hanaga kitu kichwani yule ndo maana kawatoa watu kafara majuzi tuYule hata kama hakuna Umeme anaweza kuwaambia upo ila badala ya kutoa mwanga unatoa giza😁
Duh! Nimechekaa kwa sauti daladala zima macho kwangu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule hata kama hakuna Umeme anaweza kuwaambia upo ila badala ya kutoa mwanga unatoa giza[emoji16]
😂😂😂😂Duh! Nimechekaa kwa sauti daladala zima macho kwangu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waafrika Siasa walishindwa kitambo sanaWanasiasa wa kiafrika ni wajinga sana.
Sahibisho; Wanasiasa wa kiafrika ni wapumbavu sana.Wanasiasa wa kiafrika ni wajinga sana.
Wa wapi si wapumbavu????!![emoji15][emoji1787][emoji1787]Sahibisho; Wanasiasa wa kiafrika ni wapumbavu sana.
Hawa huwa wanawaona watanzania kuwa hawana akiliKama bibi wa kipemba alivodanganya jana na yule mpaka piko kichwani alie danganya msikitini kuwa rais anapiga kazi kumbe alisha fariki
KabisaHawa huwa wanawaona watanzania kuwa hawana akili
Ni aibu snKabisa
Kwa Sababu mpo mpo tuHawa huwa wanawaona watanzania kuwa hawana akili
Haswa nyie UWTKwa Sababu mpo mpo tu