Kazi kwa aliyechukua taaluma hii

Kazi kwa aliyechukua taaluma hii

Habari zenu waungwani
Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
Natanguliza shukraan

Huyo ni foreman ngazi ya chuo kikuu
 
Arch.katunzi kwa mawazo yangu naona hii programme haitakiwi kufundishwa kwenye level ya undergraduate, inatakiwa ianze kwa level ya Masters‘ degree kufundishwa. Undergraduate anafundishwa kumanage construction projects hana idea ya anachokisimamia. Hii inafaa wasome wakiwa na degree ya civil, architecture au BE tayari. Mtu mwenye degree hii hawezi akakaa meza moja na civil, Arch. au QS huyu mtu atakuwa mweupe sana.
 
Last edited by a moderator:

umeongea ukweli mkuu na nahisi ndo maana uongozi wa ardhi university kupitia school yake ya construction economics and management SCEM ambayo inajumuisha bachelor courses
1. Bsc in building economics (quantity surveyor)
2.Bsc in civil engineering
3.Bsc in building survey
4.Bsc in construction management

imeamua kutokudahili wanafunzi katika fani za construction management and building survey kwa muda wa miaka miwili now ........
 
achek kwa kina zaid kwan umemweleza yapi ya awali,nibora kama hujui unyamaze

unakua kama sio fal.a vile ...........hebu kitulize kikali.o chako sio lazima ku quote quote watu tuu ili mradi na ww u comment.......

nimempa site ambapo pia anaweza pata majibu ya alichouliza , ww kimbele mbele cha nini...???jiangalie then tuliza mshono usitutafutie watu ban......jf n kama nyumbani wengine
 
Mlianza vizuri lakini naona tena thread inaanza vibonzo vya kurushiana kauli mbaya, sio vizuri hivo, ukiwa jukwaani tumia lugha nzuri inayotambulisha fani yako, ili uwe msaada kwa umma kupitia mchango wako wa kisomi,
 
sawa mkuu......!
 
Back
Top Bottom