GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Habari zenu waungwani
Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
Natanguliza shukraan
Huyo ni foreman ngazi ya chuo kikuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu waungwani
Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
Natanguliza shukraan
kacheki ardhi university-school of construction economics and management scem .....kwa kina zaidi
Arch.katunzi kwa mawazo yangu naona hii programme haitakiwi kufundishwa kwenye level ya undergraduate, inatakiwa ianze kwa level ya Masters‘ degree kufundishwa. Undergraduate anafundishwa kumanage construction projects hana idea ya anachokisimamia. Hii inafaa wasome wakiwa na degree ya civil, architecture au BE tayari. Mtu mwenye degree hii hawezi akakaa meza moja na civil, Arch. au QS huyu mtu atakuwa mweupe sana.
achek kwa kina zaid kwan umemweleza yapi ya awali,nibora kama hujui unyamaze
Mlianza vizuri lakini naona tena thread inaanza vibonzo vya kurushiana kauli mbaya, sio vizuri hivo, ukiwa jukwaani tumia lugha nzuri inayotambulisha fani yako, ili uwe msaada kwa umma kupitia mchango wako wa kisomi,
Huyo ni foreman ngazi ya chuo kikuu
Huyo ni foreman ngazi ya chuo kikuu