Kazi kwa graduates fresh from university

Kazi kwa graduates fresh from university

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Kwanza nawashukuru sana member wote wa JF kwani nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia huu mtandao.mi nipo mwaka wa mwisho nategemea kumaliza mwezi wa 7,je nikimaliza naweza kupata kazi direct or i hav to do some training?na je vipi kuhusu hawa watu wa Radar recruitement wanasaidia kwenye kupata kazi na vp malipo yao? Asanteni wana jamii
 
tafuta contacts za makampuni unayotaka ingia wasiliana nao, watumie cv mwaka kesho, ukiitwa interview onyesha vyeti kuwa kweli umemalia na kufaulu. kujaribu kunasaidia zaidi.
 
Km unaweza tafuta kaz hukohuko nje bongo kwikwi tu huku
 
To be frank private companies are unpredictable in tz, most of them hata nafasi za kazi huwa hawatangazi na watu wanaajiriwa kwa connections. Ukimaliza jaribu bahati yako, tupia cv kila mahali.
 
Usiogope chalellenge zilizopo, kila mtu ana bahati yake.....Tengeneza CV miezi miwili kabla ya kuhitimu anza kufanya mawasiliano na kampuni tofauti
 
asanteni sana wadau napata moyo kwa majibu yenu.
 
mkataba ulikuwa ni kusoma sasa umeisha kupata kazi ni ishu nyingine,naendelea kutakufa kazi hata huku pia but nikipata bongo pia sio mbaya kusogeza siku mbele.
 
Back
Top Bottom