Kwanza nawashukuru sana member wote wa JF kwani nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia huu mtandao.mi nipo mwaka wa mwisho nategemea kumaliza mwezi wa 7,je nikimaliza naweza kupata kazi direct or i hav to do some training?na je vipi kuhusu hawa watu wa Radar recruitement wanasaidia kwenye kupata kazi na vp malipo yao? Asanteni wana jamii