Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona lipo wazi!! lodge za dar nyingi huwa tutalala wenyeji, kwa uchache sana Wageni wa mkoani, kwa hapo madale tegemea wakazi wa mbezi goba na viunga vyake ndo watakuwa wateja wake .Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini.