kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Jul 31, 2020 Thread starter #21 mbu wa dengue said: [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unavyoelezea kwa mikwara utafikiri upo hyatt regency au new africa hotel Click to expand... More than Hyatt and New Africa
mbu wa dengue said: [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unavyoelezea kwa mikwara utafikiri upo hyatt regency au new africa hotel Click to expand... More than Hyatt and New Africa
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Aug 1, 2020 Thread starter #22 Sky Eclat said: Tunahitaji kuwa na reference katika hiyo nafasi ya kwanza? Click to expand... Yes
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Aug 1, 2020 #23 Hyo kazi ya usafi yataka moyo Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,893 Reaction score 3,640 Aug 1, 2020 #24 Unafua mipizo ya wanaume wenzio.
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 Aug 1, 2020 #25 Lihove2 said: Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini. Click to expand... Mbona lipo wazi!! lodge za dar nyingi huwa tutalala wenyeji, kwa uchache sana Wageni wa mkoani, kwa hapo madale tegemea wakazi wa mbezi goba na viunga vyake ndo watakuwa wateja wake .
Lihove2 said: Hiyo lodge kwa huko madale unategemea kupata wageni kutoka wapi? samahani lakini. Click to expand... Mbona lipo wazi!! lodge za dar nyingi huwa tutalala wenyeji, kwa uchache sana Wageni wa mkoani, kwa hapo madale tegemea wakazi wa mbezi goba na viunga vyake ndo watakuwa wateja wake .
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Aug 3, 2020 Thread starter #26 Noted