Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
 
Hahaha wananchi hatuogopi licha ya kwamba sisi ndio waathirika lakini watawala wanajiharishia wao wanapoona Ng'ombe wao wanaanza kuchoka.
 
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
Mimi kinacho nisikitisha ni ulivyo sema hapo juu kwenda sambamba na taswira ya utendaji wa elimu ya waliojuu kuonekana katika utendaji wa wasomi wetu na wataalamu wetu pamoja na taasisi zetu.
Yaani professor WA chuo kutenda au matokeo ya utendaji wake kuwa kama wa form 4, ukienda ktk vyombo vya ulinzi na usalama, hivyo hivyo, mihimili mingine miwili nayo hivyo hivyo. Ukija kwa mwendesha mashtaka nako hivyo hivyo, Polisi, .

Hivyo Hali hii itatuambia ni vizuri tukachagua aliye Bora ili aweze kutuambukiza ubora wake
 
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
Naona mmekomaa kweli kweli kutaka kuleta udini. Mtashindwa kama walivyoshindwa wengine shenzi zenu. Taifa la Tanzania kamwe haiwezi kuingizwa kwenye mtego wa kidini.
 
Hii nguvu kubwa yote umeshaitumia hata kidogo kukemea utekaji? Au kwako uhai wa mtu si muhimu kuliko chama?
 
Ukitaka kuona balaa la hawa watu kuandamana hadi Ikulu wewe fungia Yanga na Simba tu.
 
Na yote hayo ni kulinda tumbo la mama na mwana
 
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
dhana potofu, story, porojo na drama kama hizo za kilofa, kamwe haziwezi kufanya kazi ya kuwatumikia waTanzania na kuwaletea maendeleo kiuchumi, kisiasa na kijamii kusimama.

serikali sikivu ya ccm itaendelea kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
hakuna kubabaika na upotoshaji huo :pulpTRAVOLTA:
 
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
 
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa

Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.

Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?

Hakika, Tunasonga mbele.
Inasikitisha Sana kwa kweli...
 
Maza anafungua nchi
 
Back
Top Bottom