Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Dah,Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele
Kazi ni kipimo cha UtuInasikitisha sana
Mimi kinacho nisikitisha ni ulivyo sema hapo juu kwenda sambamba na taswira ya utendaji wa elimu ya waliojuu kuonekana katika utendaji wa wasomi wetu na wataalamu wetu pamoja na taasisi zetu.Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.
Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?
Hakika, Tunasonga mbele.
Naona mmekomaa kweli kweli kutaka kuleta udini. Mtashindwa kama walivyoshindwa wengine shenzi zenu. Taifa la Tanzania kamwe haiwezi kuingizwa kwenye mtego wa kidini.Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.
Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?
Hakika, Tunasonga mbele.
Hii nguvu kubwa yote umeshaitumia hata kidogo kukemea utekaji? Au kwako uhai wa mtu si muhimu kuliko chama?Naona mmekomaa kweli kweli kutaka kuleta udini. Mtashindwa kama walivyoshindwa wengine shenzi zenu. Taifa la Tanzania kamwe haiwezi kuingizwa kwenye mtego wa kidini.
dhana potofu, story, porojo na drama kama hizo za kilofa, kamwe haziwezi kufanya kazi ya kuwatumikia waTanzania na kuwaletea maendeleo kiuchumi, kisiasa na kijamii kusimama.Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.
Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?
Hakika, Tunasonga mbele.
Umeisoma mada husika au umekurupuka tu kunijibu Mimi km vile comment yangu ndo thread yenyewe?!!!Hii nguvu kubwa yote umeshaitumia hata kidogo kukemea utekaji? Au kwako uhai wa mtu si muhimu kuliko chama?
Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.
Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?
Hakika, Tunasonga mbele.
Inasikitisha Sana kwa kweli...Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea wakiitwa wasaliti, wakifanyiwa kila aina ya zengwe mpaka kufungiwa makanisa.Huku wengine wakivamiwa makanisani na kujeruhiwa kisa tu kukemea na kupinga vitendo hivyo hadharani.
Je, Hii ndiyo 'KAZI NA UTU'?
Hakika, Tunasonga mbele.
Maza anafungua nchiKuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa