Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China.
Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo
- Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa tishio kubwa kwake.
- Ushindani wa kiteknolojia, dunia inapitia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na katika maeneo hayo wanao onesha kuchukua kwa kasi ni wao marekani akiwa pamoja na washirika wake dhidi ya taifa la China. Marekani akipoteza title hii kwa adui yake China ni hasara kubwa kwake hivyo ana kazi kubwa ya kumfunga China speed governor
Katika maeneo kama haya marekani atakuwa na kazi nzito ya kumdhibiti China. Je, kupitia migogoro/vita ? Kitu ambacho kimekuwa kigumu sana kwa uchina.
China wamekuwa wagumu sana kuingizwa katika vita au hata katika migogoro ya mbali na marekani mara kadhaa amejaribu kufanya hivyo.
Na kupitia vita ndio sehemu ambayo mipango mingi ya nchi inavurugika hii hata kwa kuitazama marekani ushiriki wake wa vita vingi pia umeleta hasara kwake kama taifa kinyume kabisa na kwa mshindani wake.
Marekani anahitaji kuafanya kila awezalo kumdhibiti China katika hayo maeneo makubwa mawili ndiyo yaliyo baba uhai wake kwa sasa na miaka mingi ijayo.
Je, atatumia mbinu gani ? Au ataendelea kuamini kupitia migogoro/vita ndio njia pekee ya kumpoteza mshindani wake China ?
Na Je, nao wachina wataachana na utulivu huu walionao na kuingia vitani kwa choko choko za marekani ?