Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa hiyo nimrushie?Mi mwenyewe mfupa kaka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nimrushie?Mi mwenyewe mfupa kaka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Anafaa kuwa shemeji yako kwanza?Kwa hiyo nimrushie?
Mkuu hebu eleza huo ugum ukoje maana naweza kutembelea hata keshoInategemea na ugumu mkuu.
Mimi tena?Mkuu hebu eleza huo ugum ukoje maana naweza kutembelea hata kesho
Nou sorry, mtoa post nimekosea kureply kwakoMimi tena?
Sawa mkuu.Nou sorry, mtoa post nimekosea kureply kwako
Si utulie huko huko tu? Hamtosheki?Kuna nafasi bado huko unapofanya mkuu? Nimevutiwa na hapo ulipo.
Wewe ungetosheka usingekua unaamka kila siku asubuhi kwenda kazini. Kwanza nani kakwambia mahitaji yanamwisho.Si utulie huko huko tu? Hamtosheki?
Akifungua mkono ntakwambiaAnafaa kuwa shemeji yako kwanza?
Isiwe tabu dada! Nimeshaelewa....nipo kwenye kwaresima nisamehe kama nimekukwaza maana ukinitukana nitasikitika sana...Wewe ungetosheka usingekua unaamka kila siku asubuhi kwenda kazini. Kwanza nani kakwambia mahitaji yanamwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sio wa mchezo mchezo
Nimejikuta nacheka ki_english figure hoho..Nitashukuru mkuu. Hii niliyonayo imenifika hapaaa
Sawa kakaAkifungua mkono ntakwambia
LolIsiwe tabu dada! Nimeshaelewa....nipo kwenye kwaresima nisamehe kama nimekukwaza maana ukinitukana nitasikitika sana...
Unanicheka eeeh.Nimejikuta nacheka ki_english figure hoho..
Pole mpendwa.Unanicheka eeeh.
Asante mpendwa.Pole mpendwa.
Kumekucha mpendwa,Asante mpendwa.