Kazi Ngumu Zinalipa

Kazi Ngumu Zinalipa

MTU anapokuja na maneno hewa unajua Kazi hewa na kipato hewa

Fikiria sisi siyo watoto ameanza na fenicha na blabla baadae akachangi na kuanza mawasuliano baadaye kaitwa na mtu mwingine ambaye hata kampuni hajasema wala Kazi yenyewe hajaisema



Yaaani piga UA atakua anafanya biashara ya utapeli kama siyo upatu

Kama si madawa ya kulevya itakuwa naniiiii


Teh
 
Wewe ungetosheka usingekua unaamka kila siku asubuhi kwenda kazini. Kwanza nani kakwambia mahitaji yanamwisho.
Isiwe tabu dada! Nimeshaelewa....nipo kwenye kwaresima nisamehe kama nimekukwaza maana ukinitukana nitasikitika sana...
 
Back
Top Bottom