Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

Kwanza yakiwekwa matokeo yangu na Yako kuanzia primary Hadi chuo kikuu nauhakika hakuna mahali utanikaribia Kwa ufaulu.
Ufaulu wa kukariri darasani ungetakiwa kuonyesha hapa kwa kutoa na kujenga Hoja.
Huo ufaulu wa kwenye makaratasi ndio unafanya mpaka wakina Mbunge Msukuma wawadharau.

Elimu na Akili ni vitu viwili tofauti kabisa.
Kama una Angalau hata C kwenye matokeo yako halisi basi onyesha uwezo wako hapa katika kujenga Hoja.

Jibu swali hili, kwa NINI mwanamke asifanye kazi wakati yeye ni mtu?
Haya onyesha huo ufaulu wako kwa kujibu swali hilo.

Sitaki kuongea mengi.

Ni kwamba wewe hauna hela, na hoja zako hizi zinadhihirisha huna Hela na unakwepa jukumu la kumhudumia mke Kwa 100%. Mke ambaye manufacturer wetu kamuumba kama Kiumbe Cha kupokea tu, Leo unataka awe wa kutoa.
Wapi nimekwepa au nimesema mwanaume asihudumie Mkewe au familia yake. Bado unasema unaufaulu wa juu. Labda kama uliiba Papers. Lakini mtu yeyote ambaye hata hajaenda shule lakini zinachaji hawezi kufikiri kwa namna yako.

Mwanamke anafanya kazi kwaajili yake yeye mwenyewe kama wewe unavyofanya kazi.
Siku usipokuwepo unataka aje kulishwa na kaburi lako?
Siku umemuacha ameshakuwa mtu mzima unataka nani amhudumie.

Hivi unautambuzi na elimu ya Uraia walau kwa kiwango kidogo?

Unakoelekea utadai Wanawake wawe wanatoa MAHARI.
Mahari ni Mila potofu. Sio kwa mwanamke wala mwanaume ambaye anatakiwa kupewa wala kutoa.
Bado unasema ulifaulu na Sikupati. Siwezi kukupata kwa Elimu ya kikasuku. Bila kutumia Akili

Tafuta Hela Robert uwe tajiri utakuja KUJUA Raha ya mama wa nyumbani.
Hakuna raha ya Mama wa nyumbani zaidi ya kumgeuza mwanamke mtumwa na kumnyanyasa, akutegemee na ashindwe kuwa Huru kisa hana uwezo wa kujitegemea.

Watu aina yako mnapenda kuabudiwa na wengi wenu hampendi wala hamwezi kuwa na wanawake Huru kwa sababu mnawaona hawawaabudu

Hakuna Mwanamke anayefanya kazi huko kazini akawa salama.

Hizo ni dharau kwa wanawake wa jamii uliyotoka. Ambao hawajitambui.
 
Ukiona MTU anaongelea anawazidi wengine matokeo ya darasani mahali ambapo sio shule ujue huyo Ni kilaza namba 1 anatumia hiyo kujiwekea kinga

Hayo matokeo yake ndio aonyeshe uwezo wake wa kujenga Hoja hapa.
Wakina Kishimba hawajasoma na Bado wanaweza kujenga Hoja

Lakini Kuna jitu limemaliza Kodi za nchi na kusomeshwa mpaka chuo na Bado hata kujenga Hoja haliwezi.

Unamuuliza ikiwa mwanamke ni mtu kwa NINI asifanye kazi ya uzalishaji, anapuyanga.
Swali ambalo hata kijana wa darasa la Saba ambaye ana umeme wa kutosha kichwani anajibu vizuri tuu
 
Mwanamke sio kiumbe Cha kupokea tu , Bali anapaswa ajitegemee. MTU asiyeweza kujitegemea Ni mtumwa. Na ndio wanasababisha umaskini katika nchi yetu. Je mwanamke asipoolewa atapokea wapi? Je mine wake akifa atapokea wapi?
Umaskini kwenye nchi Yako hausababishwi na kina Mama wa Nyumbani.

Hiyo ni mada nyingine.

Mme wake akifa anapokea kutoka Kwa vitega uchumi vya mume wake.

Ukweli ni kuwa Mleta mada Hana Hela Sasa anatafuta namna ya kujifariji.

Muulize kama anaingiza mshahara wa milioni 5 Kwa mwezi.
 
Ukiona MTU anaongelea anawazidi wengine matokeo ya darasani mahali ambapo sio shule ujue huyo Ni kilaza namba 1 anatumia hiyo kujiwekea kinga
Kwanini hukumshambulia wakati akiniita Mjinga?

Nimemjibu kuwa katika ujinga sipo Kwa ufaulu wangu tatizo liko wapi.
 
Hamna mtu anayeingiza mshaahara mwenye hela , hela zipo kwa wafanyabiashara brother
 
Mwanamke sio kiumbe Cha kupokea tu , Bali anapaswa ajitegemee. MTU asiyeweza kujitegemea Ni mtumwa. Na ndio wanasababisha umaskini katika nchi yetu. Je mwanamke asipoolewa atapokea wapi? Je mine wake akifa atapokea wapi?

Kuna watu Wana uwezo mdogo wa kufikiri.
Haya Umemwoa Binti wa watu, umemweka ndani kwa miaka 20 ameshakuwa mtu mzima, imetokea mmechukiana mkaachana huyo mwanamke aliyezoea kuletewa tuu miaka nenda rudi leo hii umwache ataishije? Hilo hawezi kujiuliza kwa sababu watu wabinafsi huongozwa na roho mbaya pia.

Haya upo na Mkeo umemweka Mama wa nyumbani, mnawatoto. Imetokea siku umekufa au umepata ajali ambayo haikuruhusu Tena kufanya kazi. Huyo mwanamke ataishije, ataihudumia vipi familia?
Hilo hawezi fikiri kwa sababu akili yake ni kipofu haioni Future.

Haya umeacha miradi, Mke hajazoea kujishughulisha na ulimjengea mindset ya kutofanya kazi za uzalishaji zaidi ya kufanya kazi za nyumbani ambazo hazileti ugali nyumbani. Hiyo miradi itaongozwa na nani?
Hawezi Kuona hilo.

Haya, Mkeo anaenda Kanisani au msikitini, atatoa zaka ipi ilihali yeye hafanyi kazi za uzalishaji? Na zaka ni fungu la kumi la mapato ya mtu na sio familia wala jumuiya.
Au ndio atampa zaka kama mtoto ILHALI WATOTO hawatoi zaka kwa sababu hawafanhi kazi?

Hawezi kuelezea hilo kwa sababu hana uelewa na mambo ya kiroho
 
Cha kufanya Robert tafuta Hela, hauna hela ndio sababu unawaza mke afanyie kazi.

HAUNA HELA NINA UHAKIKA.

Ukishaanza kuingiza milioni 5 Kwa mwezi ndio utaelewa Mwanaume Huwa anamchukuliaje mke wake.

Huna Hela kijana...
 
Cha kufanya Robert tafuta Hela, hauna hela ndio sababu unawaza mke afanyie kazi.

HAUNA HELA NINA UHAKIKA.

Ukishaanza kuingiza milioni 5 Kwa mwezi ndio utaelewa Mwanaume Huwa anamchukuliaje mke wake.

Huna Hela kijana...

Kikwete Hana pesa ndio maana Salma ni Mbunge sio.
Tulia Mumewe Hana pesa sio.
Tax Mumewe hana pesa ndio maana anafanya kazi.
Kina Ummy mwalimu,

Kina Kamara waume zao hawana pesa ndio maana wanafanya kazi sio?

Alafu unaufaulu mkubwa😂😂

Ufaulu mkubwa haupo kwenye vyeti Mkuu. Ufaulu mkubwa unaonekana kwa mtu mwenyewe.

Sasa kama unafikiri Mke kufanya kazi ni kwa wanaume wasio na pesa na ulifaulu vipi kama usingesoma ungekuwa unawaza kwa namna ipi?

Nilitegemea kwenye huu mjadala ungeleta changamoto na kutetea kwa hoja upande wako ili kuwapa moyo wenye mtizamo kama wako lakini umekuja kujiabisha na kuwaangusha wenzako.
Zaidi umekuja kuwatia aibu mpaka Wasomi waliofaulu😅
 

Atapokeaje kutoka kwenye miradi ambayo Haina usimamizi baada ya Mumewe kufa?

Hivi Mkuu akili yako umeme upo wa kutosha kweli?
 
Kwanini hukumshambulia wakati akiniita Mjinga?

Nimemjibu kuwa katika ujinga sipo Kwa ufaulu wangu tatizo liko wapi.

Umeonyesha ujinga katika kujenga Hoja Mkuu.
Hilo la ufaulu umejidhalilisha kwa sababu kama ungekuwa unaufaulu mkubwa ungejadili kwa hoja zenye nguvu kama mtu aliyefaulu kweli.

Sasa wewe unaleta porojo za watu wajinga waliogizani kuwa ooh mwanamke kaumbwa kupokea, sijui anatakiwa kukaa nyumbani hivi tangu umezaliwa mpaka unafikia umri huo uliwahi kumwona msomi au mtu mwenye akili zinazochaji akaongea jambo kama hilo?

Watu wanaongea kitu kama hicho wapo makundi yafuatayo;
1. Wajinga wasio na elimu na Akili
2. Wenye mfumo dume Kandamizi
3. Wenye Mila Potofu

Sasa wewe hapo upo kundi gani?
 
Sisi wengine ni chuma ulete hatuwezi kugonganisha vyanzo vya maokoto.
 
Unajua wewe unatoka nje ya mada Yako, usiumizwe sana na ufaulu wangu kwakuwa hiyo ni Mali yangu.

Umesema mama wa nyumbani sio kazi.

Na ukaendelea kusema ni kwakuwa haiingizi Pesa.


Unaelewa ulichoandika?

Nikakuuliza mfanyakazi wa ndani unamlipa mshahara wa Nini ikiwa hiyo siyo kazi na haaingizi pesa?

Tofautisha watu kutafuta status kwenye jamii, ndiyo hayo mambo unayoongelea ya kina Kamala nk

Ni kwamba Mama wa Nyumbani ni kazi kubwa tu kama zilivyo kazi zingine, na inaingiza mapato ila kwakuwa wewe ni mvivu wa kufikiri, basi huoni...
 
Atapokeaje kutoka kwenye miradi ambayo Haina usimamizi baada ya Mumewe kufa?

Hivi Mkuu akili yako umeme upo wa kutosha kweli?
Unajua dogo Robert unaleta Dharau Sasa masuala ya matusi wakati tunabadilishana hoja Kwa hoja, kuwa makini...

Nakutahadharidha....

Wewe hii post Yako nilokuquote ndio inathibitisha dhahiri hauna pesa mdogo wangu.

Wewe kama umeshindwa KUJUA biashara Huwa zinawekewa Mfumo wa kujiendesha utajuaje Mama wa Nyumbani ni kazi kama zingine?

Reginald Mengi alipofariki IPP imekufa?

Wewe huna Experience na maisha sio ajabu unatumia simu ya mkopo au mkeo amekupa zawadi.

Ni kwamba nimekwambia tafuta Hela ukishazipata utajua mentality ya Mume juu ya mke wake kuwa chini ya boss ikoje. Sawa?

Mimi siwezi ruhusu mke wangu kufanya kazi Kwa sababu Hilo jumba tunamoishi ndio kazi yake, na akiwa na tatizo lolote ama upande wa kwao ni jukumu langu.
 
Sikiliza Robert humu Jamiiforums kuna nyuzi ndugu zetu wameachishwa kazi ghafla na Wanawake wakahudumia familia Kwa muda mfupi na kuanzisha migogoro.

Wewe unaleta ukinyume na maumbile Mimi nasimama upande wa muumbaji, ndivyo alivyoiweka Mwanamke Yuko upande wa upokeaji.

Sasa jambo dogo kama Hilo hujui utajuaje mengine?

Mimi Mila kweli wakati nasoma nilikuwa nazikataa ila ni miaka mi5 sasa nimezishika Mila kisawasawa.

Wewe furahia kuniita Mjinga hebu tuma cv Yako pm Jumatatu niikague nione kama inafaa kukuajiri maana naona njaa inakutesa sana kijana...
 

Wewe mwenyewe ndîo umeleta masuala ya kusema sikupati kwèñye ufaulu Sasa huo ufaulu wako ndîo uonyeshe Hapa na kujenga hoja.

Maswali yôte uliyouliza yanazidi kuonyesha hyo ufaulu wako unatoa Mashaka

Mfanyakazi wa Ndani unamlipa Kwa sababu anafanya majukumu yako wewe na hamna uhûsiano wowote.

Kufanya Kazi NI sehemu ya kujenga status ya Mtu yeyote íwe Mwanaume au Mwanamke.
Hadhi ya Mtu inajengqa na mambo meñgi mojawapo NI kufanya Kazi zinazoathiri jamii Kwa kuitumikia
 
Kaangalie CV ya Mke wake WA Kwanza na wapili uone analingana na huyo Mama WA nyumbani.
Wôte wake Zake wanakazi na niwafanyabiashara wakubwa.

Unàtaja mifano àmbayo inakufunga mwenyewe.
Wewe huna Experience na maisha sio ajabu unatumia simu ya mkopo au mkeo amekupa zawadi.

Ni kwamba nimekwambia tafuta Hela ukishazipata utajua mentality ya Mume juu ya mke wake kuwa chini ya boss ikoje. Sawa?
Mimi siwezi ruhusu mke wangu kufanya kazi Kwa sababu Hilo jumba tunamoishi ndio kazi yake, na akiwa na tatizo lolote ama upande wa kwao ni jukumu langu.
Kama Mkeo umeme NI mdogo pia lazima akukubalie lakini Huwezi pata Mwanamke àmbaye kichwa kina gridi kûbwa ya taifa àmbaye anajielewa Akakubali awe mfuniko katika pipa lako
 
Alafu tumia herufi rasmi katika maandishi yako maana huelewi.

Sasa ukiwa na kampuni unalipa wafanyakazi mshahara Ina maana wamefanya majukumu Yako si ndivyo?

Sasa hoja yangu ndio umejileta mwenyewe, ni hivi ule mshahara unaomlipa mfanyakazi wa ndani ilitakiwa umlipe mke wako ambaye ni mama wa nyumbani (japo huo mshahara huwa ni mdogo kulinganisha na kazi inayofanyika)
na Kwa hivyo tukubaliane kuwa Mama wa Nyumbani ni kazi kama zingine ni upofu wako au una njaa ya Hela sa unataka kulelewa kapambane kijana acha kushika cm Kila muda hauli internet waves.
 
Sikiliza Robert humu Jamiiforums kuna nyuzi ndugu zetu wameachishwa kazi ghafla na Wanawake wakahudumia familia Kwa muda mfupi na kuanzisha migogoro..
Kwani ni Wanaume wangapi wanaofanya Kazi na wake zào hawafanyi Kazi na hao Wanaume wanawanyanyasa na kuanzisha migogoro kîla Siku Kwa Wake zào?

Kama umesoma angalau kidato cha nne, unaweza ukaniambia Kwa nini kûna ukombozi wa Mwanamke na harakati za kupinga ukatili kwa Wanawake na Watoto?

Unafikiri Mwanamke angekuwa anajitegemea angefanyia unyanyasaji?
Wewe unaleta ukinyume na maumbile Mimi nasimama upande wa muumbaji, ndivyo alivyoiweka Mwanamke Yuko upande wa upokeaji.
Embu naomba àndiko lolote kutoka Dini yoyote àmbayo muumbaji amesema Mwanamke asifanye Kazi. Àndiko Moja alafu Mimi nakuletea Mia Moja. Najua Hilo àndiko hutalipata kwèñye Dini yoyote hata Dini za zetu za kiafrika Huwezi Kuta hiyo kitu.
Labda Kwa wapagani na makafiri ndîo utakuta wakitunga vimila uchwara vyenye lengo la kudhulumu Haki za Mwanamke
Sasa jambo dogo kama Hilo hujui utajuaje mengine?

Mimi Mila kweli wakati nasoma nilikuwa nazikataa ila ni miaka mi5 sasa nimezishika Mila kisawasawa.

Umeshika Mila gàni?
Maana zîpo Mila potofu na Mila nzuri

Wewe furahia kuniita Mjinga hebu tuma cv Yako pm Jumatatu niikague nione kama inafaa kukuajiri maana naona njaa inakutesa sana kijana...

Kuhusu kuniajiri Mkûu 😆😆 Kama hujui Kwa nini Mwanamke anatakiwa naye Afanye Kazi hata hao uliowaajiri wanahasara kûbwa Sana.

Mimi siajiriwi na Mtu mwenye ufaulu Mkubwa lakini Hana uwezo wa kuchanganua mambo. Yàani MTU Aliyeibia mitihani au mwenye cheti Feki.
NI Bora ungesema hujasoma Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…