Babatunde_seneior
Member
- Jun 21, 2021
- 29
- 23
KwaniniMkuu inawezekana una kitu, lakini aina ya uwasilishaji ndio ikawa kikwazo kwako.
Nipo darMpe ushauri huyo dereva au mmiliki wa gari awe makini na taa za dashboard.Haiwezekani gari inachemsha mpaka ichanganye? Anyway wee uko pande zipi tuongee biashara Fundi unipe engine block standard ya 1rz.