Kazi nimemaliza

Kazi nimemaliza

Joined
Jun 21, 2021
Posts
29
Reaction score
23
IMG_20230929_151205.jpg
Jana nilipost kuhusu hii engine kuchanganya maji na oil. Na hatimae leo nimemaliza kurekebisha na engine iko safi haichanganyi tena
 
Attachments

  • IMG_20231001_134448.jpg
    IMG_20231001_134448.jpg
    792.1 KB · Views: 6
Mkuu inawezekana una kitu, lakini aina ya uwasilishaji ndio ikawa kikwazo kwako.
 
Mpe ushauri huyo dereva au mmiliki wa gari awe makini na taa za dashboard.Haiwezekani gari inachemsha mpaka ichanganye? Anyway wee uko pande zipi tuongee biashara Fundi unipe engine block standard ya 1rz.
 
Nipo dar
 
Back
Top Bottom