round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Kubeba mizigo kichwani au Kwenye sekta ipi labda?? 🤔 🤔
Hata Dunia haihitaji mavyeti mengi na madigrii Bali maarifa na ujuzi na upumbavu kiasi tuuNdio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu.
Mwanafunzi wa field yupo diploma anaweza kumpokeza kazi mfanyakazi mwenye mwenye masters, ila akiajiriwa elimu itambana afanye kazi za chini, sio kwamba hawezi kufanya kazi za degee / masters.
Kwenye majeshi hali inaweza kuwa mbaya zaidi tungeona mengi sana kama wangekaguliwa vyeti kipindi cha Magu
exactly.Hata Dunia haihitaji mavyeti mengi na madigrii Bali maarifa na ujuzi na upumbavu kiasi tuu
Wachakuachuaji nao wanaenda na muda, vyeti bado vinachakachulika.Huwezi kuwagundua vipi wakati vyeti vya miaka hii ni ngumu kuvichakachua? Vyeti huhakikiwa NECTA kama ni original or fake
Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam atakuwaje na elimu ya form four na training ya miezi sita halafu aje kumfudisha mwanafunzi wa shahada ya awali, shahada ya umahiri na shahada ya uzamivu?Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training amiezi 6 tu.
a
Mwanafunzi wa field yupo diploma anaweza kumpokeza kazi mfanyakazi mwenye mwenye masters, ila akiajiriwa elimu itambana afanye kazi za chini, sio kwamba hawezi kufanya kazi za degee / masters.
Kwenye majeshi hali inaweza kuwa mbaya zaidi tungeona mengi sana kama wangekaguliwa vyeti kipindi cha Magu
Hio kazi ipo directly propotional na kusoma sana darasaniMwalimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam atakuwaje na elimu ya form four na training ya miezi sita halafu aje kumfudisha mwanafunzi wa shahada ya awali, shahada ya umahiri na shahada ya uzamivu?
Ukisema kazi nyingi unakuwa too general, maana utatajiwa kazi zinazohotaji walau shahada ya awali, utasema sijamaanisha hiyo. Labda ungeziorodhesha ili tukuonyeshe ni kwa nini zinahitaji shahadaHio kazi ipo directly propotional na kusoma sana darasani
Ndio maana sijasema kazi zote, soma upya kichwa cha post