Uchaguzi 2020 Kazi nzuri sana viongozi wa CHADEMA majimboni, sasa mnashindana kuvunja rekodi na kesho tupo Tarime!

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.

Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!

Tuendelee kusonga mbele!
 
Tunduma?????
 
Kabisa, ni nyomi after nyomi sasa mpaka October 27.
 
Hivi Esther Matiko anagombea? Yule dada ana mvuto sana, I hope kashkash alizopitia hazijamtisha. Kama hajaolewa, embu tuambiane wakuu.

Ha ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!
 
Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.

Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!

Tuendelee kusonga mbele!
Chadema wanafanya sifa sasa.
 
Hahahahahah mnashindana angalu kuona nani alipata vikura vingi?
 
Ha ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!

Dah Mwenyezi Mungu aibariki ndoa yake. Amebarikiwa sana kwa kweli.
 
Ha ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!
kumbe aliwahi kuwa Lecturer pale Jalalani Udsm
 
Wale wanafunzi mnaowajaza kwenye mikutano yenu ndio watawapa ushindi wa kimbunga ?
Nioneshe wanafunzi hapa!
IMG_20200924_193812_123.jpg
 
Back
Top Bottom