dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Tunduma?????Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!
Tuendelee kusonga mbele!
Kabisa, ni nyomi after nyomi sasa mpaka October 27.Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!
Tuendelee kusonga mbele!
CCM haishindi uchaguzi wa mwaka huu. Inyeshe mvua liwake juaMjiandae kuwa wavumilivu 28/10 dhidi ya ushindi wa kimbunga wa ccm
Mhhh..mkuu ...unataka fursa!Hivi Esther Matiko anagombea? Yule dada ana mvuto sana, I hope kashkash alizopitia hazijamtisha. Kama hajaolewa, embu tuambiane wakuu.
Sawa...CCM haishindi uchaguzi wa mwaka huu. Inyeshe mvua liwake jua
Hivi Esther Matiko anagombea? Yule dada ana mvuto sana, I hope kashkash alizopitia hazijamtisha. Kama hajaolewa, embu tuambiane wakuu.
Chadema wanafanya sifa sasa.Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!
Tuendelee kusonga mbele!
Yes alikuwa kitivo cha economics and finance pale UDSM ni kichwa sana yule sisita.Ha ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!
Chadema wanafanya sifa sasa.
Hahahahahah mnashindana angalu kuona nani alipata vikura vingi?Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na Kyela, Tukuyu na Rungwe)
Kote tulilopita tumeshuhudia hamasa ya wanachama na viongozi wa majimbo wakihakikisha Rais mtarajiwa anapata heshima anayostahili. Kiukweli rekodi inashikiliwa na Musoma mpaka sasa! Naamini kesho Tarime na keshokutwa Serengeti hapatatosha. Ingawa najua kuwa rekodi ya jumla itaandikwa Moshi mjini!
Tuendelee kusonga mbele!
Ha ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!
Mhhh..mkuu ...unataka fursa!
Wale wanafunzi mnaowajaza kwenye mikutano yenu ndio watawapa ushindi wa kimbunga ?Mjiandae kuwa wavumilivu 28/10 dhidi ya ushindi wa kimbunga wa ccm
Acha umarioooHivi Esther Matiko anagombea? Yule dada ana mvuto sana, I hope kashkash alizopitia hazijamtisha. Kama hajaolewa, embu tuambiane wakuu.
kumbe aliwahi kuwa Lecturer pale Jalalani UdsmHa ha kaolewa kitambo sana, mi kuna kozi kanifundisha tukiwa second year 2009 huko..alaf kipindi hicho alikuwa mjamzito ila mvuto ulikuwa pale pale.
Kila akiingia darasani alikuwa anaacha gumzo!
Nioneshe wanafunzi hapa!Wale wanafunzi mnaowajaza kwenye mikutano yenu ndio watawapa ushindi wa kimbunga ?