Kazi viwandani

Kazi viwandani

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ???

Naombeni connection ya kazi wapendwa

Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz,
 
Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ???

Naombeni connection ya kazi wapendwa

Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz,
Officne ndio nini?ukiwa unaandika jitahidi utumie Kiswahili fasaha,watu wazima Wana kinyaa na lugha zenu hizi
 
Weka CV umesoma au unajuzi gani
Umri jinsia n.k.

Usiseme kazi yoyote pasipokujua aina gani ya kazi unaweza kuifanya maana kazi za viwandani sio kazi utakufa mapema tena Kwa mateso.

Ikiwa umebanwa sana tafuta kwanza kazi za kutoa huduma Kama ya chakula na vinywaji unazie hapo huko viwandani sikushauri.
 
Back
Top Bottom