Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Tatizo wanaofaidika na. Hii nchi ni. Wachache. Kwa iyo tunaona. Wivu wengine kuishi kama wako. Mbinguni huku. Sisi wengine tuliowengi. Zaidi tukiishi kama mashetani hali ngumu hata mlo wa siku ni mtihani acha tu tuendelee kuwachukia. Aise na kuichukia nchi hamna namna.

{Karibu tembelea, subscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Ulimbukeni wa kutumia social Network! tunadhani kila kitu ni sifa kukiweka huko. Mfano Jamii Forum kuna Wanyarwanda Kibao wanatuwekea mada za fedheha na kutukosanisha na Serikali na sisi tunaingia King kutukana kutoa siri zetu nk. So hatuna uelewa wa hizi mambo vichwa vyetu kama panzi tu.
Kweli mkuu inafika mahala kiongozi wetu tunamuita majina mabaya kwasababu za ovyo kabisa, halafu jamaa yupo kimya tu na nafahamu kabisa huchungulia humu ila jamaa ni mzalendo tu, sipati picha huu wakati ndiyo angekuwa rais ni Mkapa watu wangenyooka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Leo Wakenya walimimina hasira na kukirihishwa kwao kwa hatua hiyo ya Gazeti la New York Times kwa kuandika ujumbe katika mitandao ya kijamii ikwemo Twitter wakiliporomoshea matusi na lawama kedekede kwa kuripoti tukio la Ugaidi la Nairobi kwa kutia chumvi nyingi.

"Baadhi hata walilinganisha namna gazeti hilo walivyoripoti matukio ya uhalifu nchini Marekani tofuati na walivyofanya kwa mkasa huu Kenya". Tembelea Dar 24 utakuta mziki wao dhidi ya vyombo vya habari vya nje.

Hiyo ndio shughuli ya Wakenya na wanafanya hivyo kulinda Maslahi ya Utalii kwa Taifa lao. Sasa Wangekua Wabongo mweeeeee mweeeeee wangeongezea Sukari zaidi na zaidi ili tu kukuza ishuu. Manina zetu sie tulilogwa na Shetani.
Kweli hatuna akiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umegeuka kutukana askari wa Tanzania na kusifia wakenya. Hawajiulizi kwanini haya matukio hayatokei TZ. Kulalamika ndo kitu pekee watanganyika wanakiweza

Kenya wamesimama na polisi wao na nchi yao. Siku zote Hawa jamaa wanafanya hivi japo haya matukio yameanza kuwa kama it's the new norm ila hawageuki kuitukana nchi yao na kamwe haisifii TZ kwa chochote kile kizuri au kibaya.

Watanganyika, on the other hand, kila nafasi wanayopata watahakikisha wanaisifia Kenya kwa Jambo zuri au baya na kuitukana nchi yao kwa kila kitu na kulalamika siku nzima. Hii inaonyesha ukomavu wa akili wa watu wa hizi nchi mbili jirani
Umeongea maneno mazito, mwenye akili atabadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Mmmmmh ngoja yakukute wewe ndoo utaona uchungu .utatamani hata kuojiwa na radio ya kijiji nasi bbc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawapongeza wana reece squad kwa kudeal na hawa magaidi ipasavyo
FB_IMG_1547661936688.jpg
FB_IMG_1547663894240.jpg
dusit2-pic.jpg
nairobi-kenya-attack-al-shabaab-7.jpg
FB_IMG_1547662158132.jpg
IMG-20190116-WA0007.jpg
IMG-20190116-WA0006.jpg
IMG-20190116-WA0009.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnapotosha uzi huu.Askari wa kenya wameshindwa kuwalinda raia wao rejea westgate, garisa nk.Hii inadhihirisha wakenya hawako makini katika usalama wa raia.
 
Naona mnapotosha uzi huu.Askari wa kenya wameshindwa kuwalinda raia wao rejea westgate, garisa nk.Hii inadhihirisha wakenya hawako makini katika usalama wa raia.
Unajifanya analyst makini ili hali hata hauna suruali ya ndani.You hardly have a clue of what you are talking about imbecile
 
Back
Top Bottom