Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Ni kwa sababu serikali yao iko friendly kiasi chake na wananchi ... sasa huku raisi wenu anawaambia wazi wazi kuwa atawapiga shangazi zenu"... hivi ukiona mwananchi anaichukia serikali hiyo utamlaumu !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Chukia serikali mpaka ukiona unalamba sukari,lakini asikwambie mtu kwa hali kama ile ya jana ukiona polisi kakufuata eneo kama lile lazima ujinyenyekeze kama kuku jike.

Tanzania imebarikiwa amani,ni jambo la kushukuru sana,hayo mengine hakuna nchi ambayo hayapo,tembea uone.
 
Ndio maana hujaja na taarifa za kibiti jana wala juzi,ila umekuja hapa baada ya kusikia hizo za kenya.
Sawa mkuu nmekuelewa lakini mi ninajamaa zangu wanajeshi walipelekwa kibiti toka mwaka Jana February mpaka Leo wapo huko, ndo maana nmeuliza vipi hao askari wabobezi walikuwa wapi
 
Wee! Shetani Yeyote Asijajaribu Kuipiga Tz Atamalizwa Mpaka Anakotoka, Tz Si Ya Kuchezewa. Atanyukwa Mpaka Kwake Anapotokea.
 
Chukia serikali mpaka ukiona unalamba sukari,lakini asikwambie mtu kwa hali kama ile ya jana ukiona polisi kakufuata eneo kama lile lazima ujinyenyekeze kama kuku jike.

Tanzania imebarikiwa amani,ni jambo la kushukuru sana,hayo mengine hakuna nchi ambayo hayapo,tembea uone.
Wanalipwa kwaajili hiyo " kwahiyo wananchi wana haki ya kupata guard toka kwao .... ni sawa na wewe leo uajiri ulinzi wako binafsi " huo ulinzi utapaswa kuwajibika na kila hali hatarishi ambayo inataka kukufikia ..... tuko pamoja !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee! Shetani Yeyote Asijajaribu Kuipiga Tz Atamalizwa Mpaka Anakotoka, Tz Si Ya Kuchezewa. Atanyukwa Mpaka Kwake Anapotokea.
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Maneno murua sana haya!

Askari wetu wanatakiwa wawe wakakamavu,na wakweli.
Wasipende kutumia meno pasipo na sababu,wanazo silaha za kutosha.
Na zaidi watumie akili kuliko nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Na wewe acha ushamba,toka lini maji ya moto yakaunguza nyumba?
Wanaume hawatishwi na maneno,bali wanazingatia ukweli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nmekuelewa lakini mi ninajamaa zangu wanajeshi walipelekwa kibiti toka mwaka Jana February mpaka Leo wapo huko, ndo maana nmeuliza vipi hao askari wabobezi walikuwa wapi

Waulize vizuri hao jamaa zako wanajua.
 
Wanalipwa kwaajili hiyo " kwahiyo wananchi wana haki ya kupata guard toka kwao .... ni sawa na wewe leo uajiri ulinzi wako binafsi " huo ulinzi utapaswa kuwajibika na kila hali hatarishi ambayo inataka kukufikia ..... tuko pamoja !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja na kumuajiri mlinzi na kumlipa bado hainizuii kuona na kusifu na kumtia moyo anapotimiza wajibu wake kwa ufasaha.

Ana uwezo wa kuzembea tu au akalala usiku,kama nitaamua kumfukuza akawa tayari.
 
Pamoja na kumuajiri mlinzi na kumlipa bado hainizuii kuona na kusifu na kumtia moyo anapotimiza wajibu wake kwa ufasaha.

Ana uwezo wa kuzembea tu au akalala usiku,kama nitaamua kumfukuza akawa tayari.
Kumsifu mtu " anapotenda jambo jema ni sifa ya kiungwana so sipingi katika hilo

Unapo mpatia sifa mtu/watu wanapotenda jumbo zuri " huwa inachangia kuwapa hamasa na wao hupata motisha ya kujiibidiisha katika kufanya vizuri zaidi katika kazi zao ..waitambua thamani yao ..wakiitmbua thamani yao watenda vizuri zaidi ..wakitenda vizuri zaidi matendo yao yatatoa hamasa kwa next generation ya taifa husika kitu ambacho kitawajengea mapenzi ya wao kutamani kujiunga na kazi hiyo. ..hawato ishia kutamani kujiunga tu bali kufanya vizuri zaidi kuliko hata wale watangulizi wao ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyoo hivyo Vikosi sio Polisi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ni Makomandooo...

Sasa ndo maana nasema mapolisi hapo wangechapikaa balaaa... Wewe unalionaje hiloo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
RECCE ni kikosi cha police mkuu na sio komando,embu rejea nilicho andika mwanza huenda utanielewa.

5/5.
 
RECCE ni kikosi cha police mkuu na sio komando,embu rejea nilicho andika mwanza huenda utanielewa.

5/5.
Bhasi nimekuelewaa...!! Polisi wenye mafunzo maalumu... Bado point yangu inabaki bila mafunzo maalumu licha ya upolisi wa kawaida hapo ni kisangaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu kibiti na mkuranga mkuu hao wabobezi walienda?
Mkuu naomba mrejesho kuhusu amani huko kibiti then rejea hapa uje uniulize ili swali lako.
Kule kibiti walienda na ndio maana amani imerejea.

5/5.
 
Back
Top Bottom