Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Naomba niwe mkweli.Askari wa kenya hasa wa kitengo cha usalama ni wa kulaumiw na wawajibike.Kwa nini? Kenya imekuwa ikipatwa na matukio yanayofanana kwa maumbile lakini kazi yao imekuwa kuokoa, kupunguza badala ya kuzuia.Askari kenya wanatakiwa wazuie mauaji kwa kuwabaini wahalifu sio kupambana uwanja wa vita.Wakenya amkeni na si kupiga propaganda za kuokoa wakati watu wengi wanaangamia.Wakenya jifunzeni kwa askari wa Tanzania kwani wanafanya kazi kwa weledi mkubwa wa kutulinda disi watanzania dhidi ya hao washenzi.Nawapogeza askari wa Tanzania na kuwapa pole raia wa kenya.
 
Uzi umegeuka kutukana askari wa Tanzania na kusifia wakenya. Hawajiulizi kwanini haya matukio hayatokei TZ. Kulalamika ndo kitu pekee watanganyika wanakiweza

Kenya wamesimama na polisi wao na nchi yao. Siku zote Hawa jamaa wanafanya hivi japo haya matukio yameanza kuwa kama it's the new norm ila hawageuki kuitukana nchi yao na kamwe haisifii TZ kwa chochote kile kizuri au kibaya.

Watanganyika, on the other hand, kila nafasi wanayopata watahakikisha wanaisifia Kenya kwa Jambo zuri au baya na kuitukana nchi yao kwa kila kitu na kulalamika siku nzima. Hii inaonyesha ukomavu wa akili wa watu wa hizi nchi mbili jirani
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
 
Naomba niwe mkweli.Askari wa kenya hasa wa kitengo cha usalama ni wa kulaumiw na wawajibike.Kwa nini? Kenya imekuwa ikipatwa na matukio yanayofanana kwa maumbile lakini kazi yao imekuwa kuokoa, kupunguza badala ya kuzuia.Askari kenya wanatakiwa wazuie mauaji kwa kuwabaini wahalifu sio kupambana uwanja wa vita.Wakenya amkeni na si kupiga propaganda za kuokoa wakati watu wengi wanaangamia.Wakenya jifunzeni kwa askari wa Tanzania kwani wanafanya kazi kwa weledi mkubwa wa kutulinda disi watanzania dhidi ya hao washenzi.Nawapogeza askari wa Tanzania na kuwapa pole raia wa kenya.
in voice of Tanzanians
 
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake..
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka.
Kazi ya usalama wa taifa nayo pia ni kulinda usalama..

Hivyo unapoamua kujiunga na hizo kazi lazima ufanye kazi kulingana na job description yako maana hukulazimishwa bali ndoto yako unatimiza hivyo huna budi kufanya kazi kwa mujibu ya mahitaji ya kazi yako.. Siyo kazi ya kujitolea ni kazi kama wengine walivyo madokta, maengineer, walimu nk...
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Kwaiyo kwa akili zako unaona hilo la wananchi kuongea tu uko kwenye mitandao kwamba kuna usalama ni sababu tosha zakuwafanya watalii watoke uko kwao watembelee kenya.Usalama wa nchi za wenzetu kuhusu wananchi wao ni jambo la msingi sana kuliko hizo porojo unazozitoa uko kwenye mitandao.Wananchi wa kenya kusema hakuna tatizo haimaanishi huo ndo ukweli wakumfanya mtu kwenye akili timamu aamini wakati tukio limetokea dhahiri.
 
Ni wapi alisema tanzania si salama? Haya mambo huyajui au ulisimuliwa vibaya. Na watu wenye akili wanapotoa tahadhari magaidi nao huangalia nao wafanyeje... Alisema east afrika na afrika si salama.

Sijui Mmarekani anajiskiaje??? Kawaambia Raia wake Tanzania siyo Salama kuna Matishio ya Ugaidi wakaona Nairobi ni salama yakawakuta. Hakika Mzungu sio Mungu!!!
 
Kwaiyo kwa akili zako unaona hilo la wananchi kuongea tu uko kwenye mitandao kwamba kuna usalama ni sababu tosha zakuwafanya watalii watoke uko kwao watembelee kenya.Usalama wa nchi za wenzetu kuhusu wananchi wao ni jambo la msingi sana kuliko hizo porojo unazozitoa uko kwenye mitandao.Wananchi wa kenya kusema hakuna tatizo haimaanishi huo ndo ukweli wakumfanya mtu kwenye akili timamu aamini wakati tukio limetokea dhahiri.
Akili zako ni KB hazifiki hata GB ulojipa kwahiyo haziwezi kuelewa posts za watu wenye uelewa wa TB standard kaaa kimia tu
 
Wee wanawezajee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wao wanachoweza sana kutia pingu tuu hapo wangekufaa kama kuku...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).

Hata bongo kunakikosi cha CRT kipo vizuri sana.Acha kudharau vitu kama hujui vilivyo mo ndani yake.Rejea kilicho tokea pale lGarisa,ndio utajua polisi wapo vizuri..KDF walienda wakasurrender ila polisi waliobobea mapigano ya kwenye majengo ile kazi waliifanya kwa muda mfupi tu.

5/5.
 
Ni wapi alisema tanzania si salama? Haya mambo huyajui au ulisimuliwa vibaya. Na watu wenye akili wanapotoa tahadhari magaidi nao huangalia nao wafanyeje... Alisema east afrika na afrika si salama.
Kwani wewe ndie Mmarekani? mbona unatoa povu utadhan UmberRutty yuko Kisutu! Nenda kasome upya page za Us Embassy urudi tena.
 
Hakuna anaedharau umuhimu wao ila wanadharaulika wanapoacha weledi nakutumikia wanasiasa mufilisi
Halafu askari kufanya uokoaji sio HISANI ndio kazi aliyoajiriwa nayo asipofanya manake kazi ya uaskari imemshinda anatakiwa akauze hata bamia
Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sanaView attachment 996233

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuongea vitu usivyovijua wewe std 7,kikosi kilichofanya 'immediate response to the crime scene' kinaitwa RECCE hiki ni kikosi kilicho bobea mapigano ya karibu(hasa ya kwenye majengo) so pale KDF hawajaenda,polisi pekee walitosha kuhimili mziki wa wale mbuzi(militants).

Hata bongo kunakikosi cha CRT kipo vizuri sana.Acha kudharau vitu kama hujui vilivyo mo ndani yake.Rejea kilicho tokea pale lGarisa,ndio utajua polisi wapo vizuri..KDF walienda wakasurrender ila polisi waliobobea mapigano ya kwenye majengo ile kazi waliifanya kwa muda mfupi tu.

5/5.
Kwa hiyoo hivyo Vikosi sio Polisi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakuwa ni Makomandooo...

Sasa ndo maana nasema mapolisi hapo wangechapikaa balaaa... Wewe unalionaje hiloo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Wewe hata hujui kitu unaongea!
 
Back
Top Bottom