Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Kazi ya Askari Kenya ya kuwapongeza

Wakenya wanajua sababu ya hayoo yote ni kupeleka majeshi kulee Somaliaa kuwaua al shabab... Kuna Rais wetu fulani nae alitaka Kuingia kwenye huoo Mtegooo aisee angejichanganyaa tungepataa tabuu sanaa yani jamaa wasingetuacha salama hata kidogo! By the way kenya wanawaheshimu sana Polisi wao maana wanajua saa yoyote kinanukaaa sisi huku ni Ujambazi tu labdaa ndo unaweza tuogopeshaaa so hatuna hofu ya maisha kama wakenyaa ilaa Ingekuwa na sisi kuna Al shabab weeee polisi tungewaabudu sasa tz wao polisi kesi za kuua raia wasio na hatia kilaa siku wanazooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
 
Wakati wa Matukio kama haya ndio utaona Utofauti wa Wakenya na Watanzania. Hapa JF zingekuwa zimejaa Posts za Kulaumu Serikali, kutukana, kulalamikiw Uislamu, kutukana vyombo vya Ulinzi nk. Hongereni sana Wakenya na Watanzania tujifunze kuwa Utaifa ni muhimu sana katika hali yoyote. Watanzania leo wangekuwa wamejaza Posts za kutisha hata Watalii wasije Nchini bila kujali maslahi mapana ya Taifa. Lkn Wakenye wanakwambia Kenya iko Salama Kenya haina Ugaidi Wageni Karibuni. Thats Excellent.
Njooo kwa Watanzania sasa mweeeeeee!!! Wangeenda Mpaka BBC Swahili kueneza Umbea na kutia chumvi ya tukio. Tupunguze Ukasuku wa kukuza mabaya tu yanayochafua taswira ya Taifa bali tuweke mbele Maslahi ya Taifa tuikomboe Nchi yetu Kiuchumi.
Kwani hapa Tanzania ni nani anayeharibu utaifa? Maana watanzania walisifika duniani kote kwa swala hili la uzalendo na utaifa, kwanini sasa hivi kuanze kuonekana kuna kasoro?
 
Pamoja na hilo umeona Wakenya Wakipost matusi kutukana Serikali yao?? Umeona Wakisambaza Umbea unaotisha jamii ya Kimataifa?? Tujipime akili zetu ktk hayo
Yaah ofcoz watz tuna ulimbukenii wa Mtandaoniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanii Mapage ya umbea insta kibaoo ya kibongooo... Wengi wanashinda tu mitandaoni kupiga umbea ndo mwisho wa siku wanachafua serikalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hapa Tanzania ni nani anayeharibu utaifa? Maana watanzania walisifika duniani kote kwa swala hili la uzalendo na utaifa, kwanini sasa hivi kuanze kuonekana kuna kasoro?
Ulimbukeni wa kutumia social Network! tunadhani kila kitu ni sifa kukiweka huko. Mfano Jamii Forum kuna Wanyarwanda Kibao wanatuwekea mada za fedheha na kutukosanisha na Serikali na sisi tunaingia King kutukana kutoa siri zetu nk. So hatuna uelewa wa hizi mambo vichwa vyetu kama panzi tu.
 
Linapotokea tatizo hata kwa kipande cha karatasi utajikinga nacho ukiamini huwezi kudhurika...


Cc: mahondaw
 
"Leo Wakenya walimimina hasira na kukirihishwa kwao kwa hatua hiyo ya Gazeti la New York Times kwa kuandika ujumbe katika mitandao ya kijamii ikwemo Twitter wakiliporomoshea matusi na lawama kedekede kwa kuripoti tukio la Ugaidi la Nairobi kwa kutia chumvi nyingi.

"Baadhi hata walilinganisha namna gazeti hilo walivyoripoti matukio ya uhalifu nchini Marekani tofuati na walivyofanya kwa mkasa huu Kenya". Tembelea Dar 24 utakuta mziki wao dhidi ya vyombo vya habari vya nje.

Hiyo ndio shughuli ya Wakenya na wanafanya hivyo kulinda Maslahi ya Utalii kwa Taifa lao. Sasa Wangekua Wabongo mweeeeee mweeeeee wangeongezea Sukari zaidi na zaidi ili tu kukuza ishuu. Manina zetu sie tulilogwa na Shetani.
 
Hiyo ndio shughuli ya Wakenya na wanafanya hivyo kulinda Maslahi ya Utalii kwa Taifa lao. Sasa Wangekua Wabongo mweeeeee mweeeeee wangeongezea Sukari zaidi na zaidi ili tu kukuza ishuu. Manina zetu sie tulilogwa na Shetani.
Manina mwenyewe shwaini wewe!
 
Back
Top Bottom