Kazi ya Green Guard ni nini, mbona hivi vikundi vilishapigwa marufuku?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.

GcKC4U5asAA3Ebl.jpg

GcKC4ZSasAEIPO8.jpg
 
Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa na vyombo vya dola.

View attachment 3149948

View attachment 3149950
UVCCM inaitwa Green Gard kwa kiingereza ndrugu zango wadau. don't be confused na jumuiya hiyo muhimu na makini sana ndani ya CCM.

kumbuka hiyo siyo tafsiri 🐒
 
Chama kikaa muda mrefu madarakani hupoteza mvuto, matokea yake hutumia mabavu kukaa madarakani kwa shuruti, hii ndio hupelekea kuwa na hivi vikundi vya utekaji, kunajisi chaguzi na ushenzi mwingi wa aina hiyo.
 
nadhani chama kisichokua na maelewano baina ya viongozi waandamizi wake,

hususani moja wao akiwa kibaraka na mwingine mfanya biashara ndani ya chama, chama hicho hupoteza uelekeo na kinakosa kuaminika kabisaaaa kwa umma na kuishia viongozi na wanachama wao kulalamika tu bila kua na mbadala wa malalamiko yao 🐒
 
Back
Top Bottom