Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ? Au ni pamoja na kuzuia vurugu?

Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ? Au ni pamoja na kuzuia vurugu?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Naomba msaada juu ya hili swali maana linanichanganya.👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1783166803460.jpg
    FB_IMG_1783166803460.jpg
    57.8 KB · Views: 20
Naomba msaada juu ya hili swali maana linanichanganya.👇
Ingekua hivyo,
sasa si lingeitwa jeshi la kulinda mipaka gentleman?

yaani kitu kinaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, halafu kiwe na jukumu la kulinda mipaka pekee?
kwani hao wananchi wa Tanzania wenye jeshi lao, wote wako wanaishi mipakani pekeyake?:1Head:
 
Nakubaliana na wewe. Hata hivyo, ningependa kujua. Jeshi letu la Polisi limezidiwa jukumu lao hili hadi wahitaji msaada wa tpdf? Nilitegemea Jeshi la Polisi ndilo litoe tamko hili.
hapana PT haijazidiwa hata kidogo,
ispokua vitisho na mizaha ya mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini, wenye lengo na dhumuni la kuchochea na kuvuruga amani ya waTanzani, vimegusa sharubu za JWT moja kwa moja.

na JWT wanachofanya sasa,
ni kutoa mrejesho tu kwa vibaraka hao ili wakawaambie mabwana zao wanaowafadhili kwamba tumejipanga vizuri kuwadhibiti na kuwasambaratisha:1Head:
 
Usilete mambo ya machizi ya Chadema hapa.Pamoja na kulinda mipaka yetu ,hata wewe ukileta nyokonyoko unagongwa vilevile !
 
Nyie vibaka mnakaa kulisema jeshi wakati hata push up 2 hamuwezi kupiga..
Mmekaaa kwa shemeji zenu mnaongelea vibaya jeshi.
Ikitokea vita mnajificha vitandani kwenu..
Sasa tokeni muandamane ndo mtajua jeshi ni la mipaka au la mipanya..
 
Back
Top Bottom