Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ? Au ni pamoja na kuzuia vurugu?

Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ? Au ni pamoja na kuzuia vurugu?

Jeshi linalinda hata ndani ya mipaka pale polisi wanapohitaji msaada ila halipaswi kujiingiza kwenye siasa.
Kwa nini jeshi halipaswi kujiingiza kwenye siasa?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nyie vibaka mnakaa kulisema jeshi wakati hata push up 2 hamuwezi kupiga..
Mmekaaa kwa shemeji zenu mnaongelea vibaya jeshi.
Ikitokea vita mnajificha vitandani kwenu..
Sasa tokeni muandamane ndo mtajua jeshi ni la mipaka au la mipanya..

Wanajifisha lkn mitandaoni utasikia tu 7+7 tupo pamoja 🤠
 
jitie kimbelembele kidogo tu,
halafu fanya kama vile unataka kuvuruiga amani ili uone hadhi yake gentleman, na itapendeza zaidi :1Head:
Ndo maana wakienda kwenye operesheni hapo DRC wanauliwa kama kuku,tena Kagame ilitakiwa awachinje alipowashika matako washenzi hawa,wanashindwa kupigana na wanajeshi walio na silaha huko DRC wanakuja kuonea wananchi wasiokuwa na silaha,wapuuzi wahedi
 
Libarikiwe jeshi la wananchi kwa lylinda Amani na utulivu
Kulinda mipaka ndio kazi kubwa. Vurugu za ndani ni polisi ila kama kana uvunjifu wa katiba jeshi linafanya kazi yake. Kulinda katiba ipo kwenye katiba.
 
Ingekua hivyo,
sasa si lingeitwa jeshi la kulinda mipaka gentleman?

yaani kitu kinaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, halafu kiwe na jukumu la kulinda mipaka pekee?
kwani hao wananchi wa Tanzania wenye jeshi lao, wote wako wanaishi mipakani pekeyake?:1Head:
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia
 
hapana PT haijazidiwa hata kidogo,
ispokua vitisho na mizaha ya mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini, wenye lengo na dhumuni la kuchochea na kuvuruga amani ya waTanzani, vimegusa sharubu za JWT moja kwa moja.

na JWT wanachofanya sasa,
ni kutoa mrejesho tu kwa vibaraka hao ili wakawaambie mabwana zao wanaowafadhili kwamba tumejipanga vizuri kuwadhibiti na kuwasambaratisha:1Head:
Mashoga na mapumbavu ya ccm hayana nafasi yoyote kwenye hii Dunia
 
Watanzania maelfu waliuwawa 29 oct hatukuona tamko lolote wala msaada wowote kutoka jwtz, inaonekana 7,7 yangekua ni mapinduzi sio mandamano wahuni wamestuka.
 
Back
Top Bottom