Kazi ya kutafuta masoko

Kazi ya kutafuta masoko

Hii kazi ni kama dalali au winga tu.. mana ukifanya masihara utapiga door to door visit. Na ujinga wa sales unahusiana na mkakati wa kuhakikisha wateja ulionao hawapotezwi ingawa hili halipimwagi kabisa kwenye performance assessment za kampuni ndogo
 
Habari ( Salesperson Needed )

NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme
Eneo : Kibamba
Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez
Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
Commission?
 
Back
Top Bottom