Kazi ya kuuza duka la decoration za nyumba

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
Habari Wadau!
Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo)

Nitashukuru sanaa kwa mchango wa maoni yenu
 
Mkuu hapa umechemka mnoo
 
Habari Wadau!
Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo)

Nitashukuru sanaa kwa mchango wa maoni yenu
Ongeza Maelezo
Faida Ni Salary Waliyokubaliana
 
Back
Top Bottom