siwacheusi
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 11
Habari Wadau!
Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo)
Nitashukuru sanaa kwa mchango wa maoni yenu