Kazi ya mauzo, usambazaji na kufanya kazi za Stationary

Kazi ya mauzo, usambazaji na kufanya kazi za Stationary

KIDTVTC

Senior Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
176
Reaction score
32
Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet

Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na onine adrert

Wasiliana nasi 0717157640
 
Back
Top Bottom