Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jul 5, 2022 #1 Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
C computerarsenal JF-Expert Member Joined Jan 27, 2020 Posts 3,480 Reaction score 6,029 Jul 5, 2022 #2 Sky Eclat said: View attachment 2281762 Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu. Click to expand... Hao watu ni kichefuchefu muda si mrefu tutakuwa tunafunga House yetu mpaka tunaporudi na wife na watoto kuwafuata direct shuleni kwao Stupid hawa watu
Sky Eclat said: View attachment 2281762 Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu. Click to expand... Hao watu ni kichefuchefu muda si mrefu tutakuwa tunafunga House yetu mpaka tunaporudi na wife na watoto kuwafuata direct shuleni kwao Stupid hawa watu
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jul 5, 2022 #3 computerarsenal said: Hao watu ni kichefuchefu muda si mrefu tutakuwa tunafunga House yetu mpaka tunaporudi na wife na watoto kuwafuata direct shuleni kwao Stupid hawa watu Click to expand... Mkuu kunywa maji mengi kwanza, wamekufanyaje hao watu
computerarsenal said: Hao watu ni kichefuchefu muda si mrefu tutakuwa tunafunga House yetu mpaka tunaporudi na wife na watoto kuwafuata direct shuleni kwao Stupid hawa watu Click to expand... Mkuu kunywa maji mengi kwanza, wamekufanyaje hao watu