Habari za mwaka mpya waungwana.
Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu.
1. Uwe Dar es salaam
2. Ujue computer applications (Basic)
3. Uwe na uwezo kumuelekeza mtoto
Kazi ni ya muda tu ila panapo majaaliwa inaweza kuwa ya kudumu
Kama ni wewe au unamjua mdada mwenye vigezo karibu inbox