Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa.
Sasa kazi hii imegeuka lini kuwa ya wananchi? Imegeuka lini kuwa ya mtoa taarifa? Yaani mtoa taarifa akupe tukio halafu yeye mwenyewe akachunguze, sasa nini kazi ya Polisi? Nini kazi ya TAKUKURU na vyombo vingine?
Kama mimi mtoa taarifa inabidi nifanye kazi ya kuthibitisha kwanini tunakuwa na vyombo vya kuchunguza? Polisi, Serikali na wasemaji wenu yaani inawezekana hata punguani akawa na afadhali kuliko huu upuuzi mnafanya.
Mtu anatoa tuhuma, badala ya uchunguzi kufanyika kwa kilichoamshwa, mtoa taarifa ndio anakuwa mtuhumiwa! Yaani yeye ndio anaanza kusakwa! We umeona wapi huu upuuzi duniani?
Gerson Msigwa wewe ni disgrace na takataka kwa taifa, Murilo, Misime hamna tofauti kabisa! Ni rubbish kila sehemu, fagio la maana linatakiwa kupita kuondoa huu uchafu wote. Ni kama hatuna polisi wakati huu, kila Mtanzania analinda uhai na mali zake!