GE2025 Kazi ya Polisi na Vyombo vya Uchunguzi ni nini kama mtu akitoa taarifa anatakiwa atoe ushahidi?

GE2025 Kazi ya Polisi na Vyombo vya Uchunguzi ni nini kama mtu akitoa taarifa anatakiwa atoe ushahidi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaingiza hisia kwenye jambo la kisheria.Sativa,Lissu na Polepole wote wanatoa tuhuma kwenye vyombo vya habari na sio kunakohusika.Chukua mfano wa Kaka yake Polepole anadai Polepole ametekwa na yeye ndio shahidi ukiitwa utoe maelezo ya ziada ili kurahisisha upelelezi unaingia mitini na kuzua tuhuma kwamba unayodai sio ilivyotokea.Kama kweli unajua unachotolea ushahidi kimetokea unaogopa nini kutoa ushahidi?
Ushahidi wa ziada upi? Unataka ushahidi gani zaidi ya mtu kutokuwepo (kutekwa)?😂🤣🤣 Fikisha ujumbe huko safari hii patajulikana! Mtu hayupo, scene yote imejaa damu na kuonezha purukushani iliyotokea, unataka ushahidi gani tena ili kuanza investigation? Bana bana tutakaa na nyinyi kiulalo ulalo

Hivi sativa kahojiwa mara ngapi? Padri Kitima je? Maofisa Upelelezi wanafanya ka,i gani kama mnataka tuwape kila kitu😂😂🤣 Actually kwa most cases mnapewa kila kitu na bado kazi hazifanyiki, tuondelee haya matapishi bana!
 
Si unaona quality ya polisi wa kibongo pale mahakamani? Sasa kama yule joji au mwingine wa jana kaaya hao ndio polisi wenye viwango vya kupeleleza na kushtaki kesi kubwa kama ya uhaini, kule chini si ni uharo tu? Just common sense, wanajua kuua tu utaalam zero
 
Hiki umeweka ni kinyume na lengo la uzi..... though tunakoenda wananchi wataanza kuside na wahalifu kweli ili kuwamaliza polisi, maana wameonesha clearly ni maadui zetu
Yes, nilikuwa naonesha tu ujinga wao wanachokifanya. Wanapoomba watu watoe taarifa za waharifu huwa wanataka tuweke na ushahidi?

Muda mwingine mtu kukupa ushahidi kabisa kunaweza ku reveal the identity.

Hivyo kusema tu Cute Wife ni jambazi wao kama polisi wanawajibu kukufuatilia tena kimya kimya nyendo zako.

Same, acuse alizotoa polepole, hahitaji kuitwa popote na kutolea ushahidi. Wao polisi na vyombo vingine wafanye kazi yai na ikibidi watoe majibu in public.

Kama kuna mtu anabagazwa aende mahakamani.
 
Shida sio kutoa taarifa shida shahidi anaweza potezwa na kusibaki ushahid mtu kutoa taarifa inabid polisi waanzie app
 
Back
Top Bottom